Kwa wenye mademu wahenga zaid ya Ommy Dimpoz tukutane hapa

Kwa wenye mademu wahenga zaid ya Ommy Dimpoz tukutane hapa

Sio sawa watoto kuhusisha wazazi kwenye maugomvi ya watoto. Unajua kuna mitoto haina adabu, haina mshipa wa aibu hawaheshimu wazazi wao. Hawajali kabisa wanasababisha maumivu kiasi gani kwa wazazi.

Kuingiza wazazi ndiyo vizuri kabisa kwasababu itamuumiza huyo mwenye mzazi wake ili akome kuchokoza wengine.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom