balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kama kamla kweli je?Kuingiza wazazi kwenye utoto wao sijapenda aisee.....
Binafsi naona haijakaa njema
Ooh! Sawa mzee, nikajua kuna vitu nondo vinahitaji uzoefu wetu kitatuaHuku wapenga wanapiga soga tu mkuu
Vikijitokeza lazma tukutafute utusaidie kutatua MkuuOoh! Sawa mzee, nikajua kuna vitu nondo vinahitaji uzoefu wetu kitatua
Sent using Jamii Forums mobile app
Pa1 mkuuVikijitokeza lazma tukutafute utusaidie kutatua Mkuu
Lakn nashukuru sana kwa kupoteza mda wako kuitikia wito
Amigo......Mkuu huu haukua utani
Ngoja nikupe faida moja Mkuu
Ni kwamba vita haichagui silaha yeyote unaweza kutumia kumuangamiza adui