Kwa wenye maduka ya jumla na reja reja nina mzigo

G-Funk

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2022
Posts
2,398
Reaction score
5,554
Kwema wakuu,
Nafanya sole distribution ya bidhaa zifuatazo kwenu wenye maduka ya bidhaa muhimu ama FMCG na hata Pharmacy.

1.Sabuni za Ariel size zote (35gm, 500gm,1kg, 1.5kg. 3.5kg)

2.Always sanitary pads aina zote. (Long, Extra long) Cottony Soft, Maxi Soft, Ultra.

3.Gillete Razors(Silver blue, Nacet), shavers (blue 2, blue 2 plus na zingine kibao za bei mkasi)

4.Oral-B toothpaste (Strong Teeth, Herbal mint, Pro-Expert)
images (9).jpeg
images (8).jpeg

A72452ae35a1d421eb54418c18f42b5eb4.png

NB: Hizi dawa level yake ni SENSODYNE tu, hakuna whitedent, Colgate wala dawa ingine yeyote inayowezana nayo. Binafsi natumia hizi na sina mpango wa kurudi nyuma.

5.Ribenna (250ml, 300ml, 500ml,600ml, 1ltr)

6.Lucozade (500mls, 1ltr)

Waweza nicheki na ukanipa orders, katika chochote hapo juu ntakufanyia van delivery strictly Dar es salaam ila kama utataka kutumiwa mzigo mkoani naweza kukutumia kwa gharama ya ziada.
 
Upo serious kweli? Au sijakuelewa , hiyo set moja ina nyembe 100 bei ya wembe1 ni 100/= sasa inakuaje
Hizo nyembe ni za 200 mkuu kwa maana ukiuza nyembe zote 100 unatengeneza elfu 20 kwa mtu wa reja reja. Kwa bei ya 12K na 14K unatengeneza faida nzuri tu.

Plus zote ni genuine Gillette sio sawa na nyembe za Rungu max au HiT.
 
Weka mawasiliano na unapopatikana
 
Upo serious kweli? Au sijakuelewa , hiyo set moja ina nyembe 100 bei ya wembe1 ni 100/= sasa inakuaje

Viwembe vya 200 hivyo mkuu vikiwa 100 kwenye card maana yake vitaleta 20,000/= Kwa reja reja.

Wa jumla atakuuzia Nacet 13K na Silver Blue atakuuzia 15K.
 
Hizo nyembe ni za 200 mkuu kwa maana ukiuza nyembe zote 100 unatengeneza elfu 20 kwa mtu wa reja reja. Kwa bei ya 12K na 14K unatengeneza faida nzuri tu.

Plus zote ni genuine Gillette sio sawa na nyembe za Rungu max au HiT.

Plus zote ni genuine Gillette sio sawa na nyembe za Rungu max au HiT.
siku nyingine hata kama chako ni bora usiharibu brand zingine kwa kuzitaja majina.
14k is just a scam to legalise your intention,infact wewe ni machinga msomi.
 
Viwembe vya 200 hivyo mkuu vikiwa 100 kwenye card maana yake vitaleta 20,000/= Kwa reja reja.

Wa jumla atakuuzia Nacet 13K na Silver Blue atakuuzia 15K.
Unauza brand au unauza wembe? Usirahisishe mambo please. Kama unasambaza uza hata 8k maana wewe unachukulia 6500/. Kula kidogo
 
Plus zote ni genuine Gillette sio sawa na nyembe za Rungu max au HiT.
siku nyingine hata kama chako ni bora usiharibu brand zingine kwa kuzitaja majina.
14k is just a scam to legalise your intention,infact wewe ni machinga msomi.
Mkuu mi sijaharibu brand ila nimeongea wazi halafu usishangae hilo.

Nina shaver za 1pc kwa 15K za Gillette Fusion nusu dozen ni 85K kama unataka naweza kukuletea pia. Achana na shaver za BiC za buku buku.
 
Umeharibu mkuu kufanya comparison ya chako na hayo makampuni uliyoyataja. Punguzeni ujuaji marketing sio kuweka mabei na mabidhaa....inahusu pia kulinda brand ya your competitors. Istoshe hao uliowataja ndio wanaowafikia wateja wengi kuliko. Sometimes we need to have knowledge on these kind of small mistakes. Elimu pekee haisaidii.
 
Marketing is about owning and creating the best image of your brand.

Hilo ndilo linafanya unaona naponda. I am selling my line of products, ziko superior kuliko za competitors hio wala isikupe tabu bruh. Hao wote wameiga toka kwenye brands zangu huu ni ukweli ambao lazma uelewe.

Lengo sio kubishana ila atleast recognize pioneers basi.
 
Ha ha ha ha! Imenikumbusha mdau mmoja aliomba ushauri wa TV gani anunue nikataja Samsung, Lg , Sony kua ni global brand akaja mtu kunilalamikia kua nime undermine type zingine…
 
L
Marketing is about owning and creating the best image of your brand.

Hilo ndilo linafanya unaona naponda. I am selling my line of products, ziko superior kuliko za competitors hio wala isikupe tabu bruh. Hao wote wameiga toka kwenye brands zangu huu ni ukweli ambao lazma uelewe.

Lengo sio kubishana ila atleast recognize pioneers basi.
Mkuu sipingi kuwa brand yako sio nzuri.....ambacho nakataa mpaka keshokutwa ni wewe kutumia vibaya majina ya brand zingine kutaka kuhalalisha brand yako. Hapo umefeli kabisa na sidhani kama ni approach nzuri. Mara nyingi makampuni mengi humarket bidhaa zao kwa kuzisifia na kuonesha zilivyobora kuliko za makampuni mengine without mentioning them direct.

Kuzitaja ni kuua biashara za wengine....ifikie hatua usishupaze shingo....take time na elewa otherwise hata wewe hizo bidhaa zako sio nzuri.
Why mention rungu max and hit max?
Why Colgate and whitedent? Was it necessary? Stop being silly.
 
Back
Top Bottom