L
Mkuu sipingi kuwa brand yako sio nzuri.....ambacho nakataa mpaka keshokutwa ni wewe kutumia vibaya majina ya brand zingine kutaka kuhalalisha brand yako. Hapo umefeli kabisa na sidhani kama ni approach nzuri. Mara nyingi makampuni mengi humarket bidhaa zao kwa kuzisifia na kuonesha zilivyobora kuliko za makampuni mengine without mentioning them direct.
Kuzitaja ni kuua biashara za wengine....ifikie hatua usishupaze shingo....take time na elewa otherwise hata wewe hizo bidhaa zako sio nzuri.
Why mention rungu max and hit max?
Why Colgate and whitedent? Was it necessary? Stop being silly.