Kwa wenye maduka ya jumla na reja reja nina mzigo

Tufanye umeshinda bruhv, case closed!
 
Ha ha ha ha! Imenikumbusha mdau mmoja aliomba ushauri wa TV gani anunue nikataja Samsung, Lg , Sony kua ni global brand akaja mtu kunilalamikia kua nime undermine type zingine…
Huwezi kuzungumzia TV bila kuwataja key brands kwenye soko. Utazungumziaje brand za mti mti za kichina kama Soy, Solistar sijui 😂😂😂 mbele ya wakongwe.
 
Unauza brand au unauza wembe? Usirahisishe mambo.please. Kama unasambaza uza hata 8k maana wewe unachukulia 6500/. Kula kidogo
Mkuu hizi ni imports hazizalishwi vingunguti wala kibaha 😂!
Sisi tunamalizana na walamba asali wa TPA na Customs kabla ya kufikia soko. Bei iko juu kiaina.
 
Naomba unipe cotaion ya bidhaa zote unazouza zote na namna nitakavyozioata kwa mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…