Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Naomba leo niseme ukweli mchungu.
"SPORT RIMS HAZIPENDEZESHI GARI HATA KIDOGO"
Kumeibuka haka katabia ka kufunga sport rims hasa kwenye vigari pendwa vijulikanavuo kma baby walkers. Ila mbali na kuonyesha kuwa umefunga Rim za gharama, hakuna chochote kinachosaidia kuongeza mvuto wa gar.
Mi nashindwa kuelewa. Sport rims zilikuwa ni maalumu kwa magar ya sports. Sasa leo hii hta mtu akipata ka passo ka mkopo, anakimbilia kufunga sport rims. Baby walkers na sport rims wapi na wapi jaman!!!!!
Mambo mengine si kuiga tu. Wingine ni ushamba tu.
Kwani we inakuuma nini? Acha wivu wa kike pambana na hali yako fala we!Naomba leo niseme ukweli mchungu.
"SPORT RIMS HAZIPENDEZESHI GARI HATA KIDOGO"
Kumeibuka haka katabia ka kufunga sport rims hasa kwenye vigari pendwa vijulikanavuo kma baby walkers. Ila mbali na kuonyesha kuwa umefunga Rim za gharama, hakuna chochote kinachosaidia kuongeza mvuto wa gar.
Mi nashindwa kuelewa. Sport rims zilikuwa ni maalumu kwa magar ya sports. Sasa leo hii hta mtu akipata ka passo ka mkopo, anakimbilia kufunga sport rims. Baby walkers na sport rims wapi na wapi jaman!!!!!
Mambo mengine si kuiga tu. Wingine ni ushamba tu.
Wabongo bana, pale mawazo yao na maono yao wanapoyageuza kuwa ndo mawazo ya watu wote..!!! Kama wewe unaona haipendezi, mwenye gari anaona inapendeza. Na haweki ili wewe upende au uchukie. Gari ni yake na hela ni zake. Pumbavu...!!!
Hapana mkuu. Sijawahi kuwa na Passo, ila nikija kuwa nayo nitafanya NINACHOTAKA MIMI, na ambavyo nitaona inafaa, sio mtu mwingine anavyotaka. Ningemuona mleta mada ana akili kama angesema madhara ya hizo sports rim kwa hizo gari. Ila kupendeza au kutokupendeza huwa ni matakwa ya mtu binafsi.Utakuwa team passo sio bure!
hongera kwa kuligundua iloSports rim inategemea na gari husika. Kwa uzoefu wangu tu gari ambazo sio sporty hazijawahi kunoga na sport rims na wala msijisumbue kuziwekea mf.
Porte,Ist,Passo,Vits,
Unasemaje kuhusu gari ambazo si 'sports' na zimekuja na original sports rims toka Japan?Sports rim inategemea na gari husika. Kwa uzoefu wangu tu gari ambazo sio sporty hazijawahi kunoga na sport rims na wala msijisumbue kuziwekea mf.
Porte,Ist,Passo,Vits,
Hilo neno mkuu, maana huwezi kufanya jambo kama halikuwepo kwenye bajeti ya kichwa chako, tupambane na hali zetuPESA INAFANYA KAZI YAKE
It depends on your ability to choose or select and matching !!!!Naomba leo niseme ukweli mchungu.