Kwa wenye Magari. Sport Rim tunazishobokea ila hazipendezeshi gari.

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Naomba leo niseme ukweli mchungu.
"SPORT RIMS HAZIPENDEZESHI GARI HATA KIDOGO"

Kumeibuka haka katabia ka kufunga sport rims hasa kwenye vigari pendwa vijulikanavuo kma baby walkers. Ila mbali na kuonyesha kuwa umefunga Rim za gharama, hakuna chochote kinachosaidia kuongeza mvuto wa gar.

Mi nashindwa kuelewa. Sport rims zilikuwa ni maalumu kwa magar ya sports. Sasa leo hii hta mtu akipata ka passo ka mkopo, anakimbilia kufunga sport rims. Baby walkers na sport rims wapi na wapi jaman!!!!!

Mambo mengine si kuiga tu. Wingine ni ushamba tu.
414af705cd3ec0ed809fae8b861d2a15.jpg
c00a19632e6a4c3bf56ad034c50c2fa7.jpg
 
Sawa
 
Nahisi mkuu utakuwa mgeni kwenye suala la magari,sio sports rim zote zinapendeza kwenye gari,ili gari ipendeze kuna sanaa ya 'designing' lazima itumike vinginevyo itakuwa ni vichekesho!Sports rim zimetengenezwa ili kupendezesha gari!!
 
Naomba leo niseme ukweli mchungu.
"SPORT RIMS HAZIPENDEZESHI GARI HATA KIDOGO"

Kumeibuka haka katabia ka kufunga sport rims hasa kwenye vigari pendwa vijulikanavuo kma baby walkers. Ila mbali na kuonyesha kuwa umefunga Rim za gharama, hakuna chochote kinachosaidia kuongeza mvuto wa gar.

Mi nashindwa kuelewa. Sport rims zilikuwa ni maalumu kwa magar ya sports. Sasa leo hii hta mtu akipata ka passo ka mkopo, anakimbilia kufunga sport rims. Baby walkers na sport rims wapi na wapi jaman!!!!!

Mambo mengine si kuiga tu. Wingine ni ushamba tu.
414af705cd3ec0ed809fae8b861d2a15.jpg
c00a19632e6a4c3bf56ad034c50c2fa7.jpg
Kwani we inakuuma nini? Acha wivu wa kike pambana na hali yako fala we!
 
Sports rim inategemea na gari husika. Kwa uzoefu wangu tu gari ambazo sio sporty hazijawahi kunoga na sport rims na wala msijisumbue kuziwekea mf.
Porte,Ist,Passo,Vits,
 
Utakuwa team passo sio bure!
Hapana mkuu. Sijawahi kuwa na Passo, ila nikija kuwa nayo nitafanya NINACHOTAKA MIMI, na ambavyo nitaona inafaa, sio mtu mwingine anavyotaka. Ningemuona mleta mada ana akili kama angesema madhara ya hizo sports rim kwa hizo gari. Ila kupendeza au kutokupendeza huwa ni matakwa ya mtu binafsi.
 
Sports rim inategemea na gari husika. Kwa uzoefu wangu tu gari ambazo sio sporty hazijawahi kunoga na sport rims na wala msijisumbue kuziwekea mf.
Porte,Ist,Passo,Vits,
hongera kwa kuligundua ilo
 
Sports rim inategemea na gari husika. Kwa uzoefu wangu tu gari ambazo sio sporty hazijawahi kunoga na sport rims na wala msijisumbue kuziwekea mf.
Porte,Ist,Passo,Vits,
Unasemaje kuhusu gari ambazo si 'sports' na zimekuja na original sports rims toka Japan?
 
Basi wasingekuwa wanaweka hata rim caps! Kupendeza kwa sports rims kunachangiwa na vitu vingi, rangi ya gari,size ya rim ,pattern ya spokes , ride height na mwisho kupendeza ni relative.
 
It
Naomba leo niseme ukweli mchungu.
"SPORT RIMS HAZIPENDEZESHI GARI HATA KIDOGO"

Kumeibuka haka katabia ka kufunga sport rims hasa kwenye vigari pendwa vijulikanavuo kma baby walkers. Ila mbali na kuonyesha kuwa umefunga Rim za gharama, hakuna chochote kinachosaidia kuongeza mvuto wa gar.

Mi nashindwa kuelewa. Sport rims zilikuwa ni maalumu kwa magar ya sports. Sasa leo hii hta mtu akipata ka passo ka mkopo, anakimbilia kufunga sport rims. Baby walkers na sport rims wapi na wapi jaman!!!!!

Mambo mengine si kuiga tu. Wingine ni ushamba tu.
414af705cd3ec0ed809fae8b861d2a15.jpg
c00a19632e6a4c3bf56ad034c50c2fa7.jpg
It depends on your ability to choose or select and matching !!!!
 
Back
Top Bottom