Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
habari zenu wakubwa..!?
mi nashauri wadogo zangu wa mwaka wa kwanza wenye mipango ya kuhama chuo kwa sababu tu hawapendi course fulani ama mazingira na sababu nyinginezo, hili swala liko complicated sana kwa mzee heslib. kama umepata mkopo, basi wataanza pia kukuhangaisha kuhusu pesa zako za boom na hata pesa za field.
proof: kuna wanafunzi wenzangu mpaka sasa wanaingia mwaka wa pili lakini pesa zao za field bado hawajapata, na zile za boom wanapea kidogokidogo..
doubt: *there must be some illegal business going on with our money*
my take: kama unahisi uko tayari ku take risk, hama!. but kama uwezo huo haupo, stay where selected by tcu!