kwa wenye mipango ya kuhama vyuo.... someni hapa kwanza. IMPORTANT!!!!!!!!!!!!!!!

kwa wenye mipango ya kuhama vyuo.... someni hapa kwanza. IMPORTANT!!!!!!!!!!!!!!!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
habari zenu wakubwa..!?
mi nashauri wadogo zangu wa mwaka wa kwanza wenye mipango ya kuhama chuo kwa sababu tu hawapendi course fulani ama mazingira na sababu nyinginezo, hili swala liko complicated sana kwa mzee heslib. kama umepata mkopo, basi wataanza pia kukuhangaisha kuhusu pesa zako za boom na hata pesa za field.
proof: kuna wanafunzi wenzangu mpaka sasa wanaingia mwaka wa pili lakini pesa zao za field bado hawajapata, na zile za boom wanapea kidogokidogo..
doubt: *there must be some illegal business going on with our money*
my take: kama unahisi uko tayari ku take risk, hama!. but kama uwezo huo haupo, stay where selected by tcu!
 
vip wale wa kuhama course za department moja kwenda department nyingine inakuwaje?....
 
habari zenu wakubwa..!? mi nashauri (waogo) zangu wa mwaka wa kwanza wenye mipango ya kuhama chuo kwa sababu tu hawapendi course fulani ama mazingira na sababu nyinginezo, hili swala liko complicated sana kwa mzee heslib. kama umepata mkopo, basi wataanza pia kukuhangaisha kuhusu pesa zako za boom na hata pesa za field. proof: kuna wanafunzi wenzangu mpaka sasa wanaingia mwaka wa pili lakini pesa zao za field bado hawajapata, na zile za boom wanapea kidogokidogo.. doubt: *there must be some illegal business going on with our money* my take: kama unahisi uko tayari ku take risk, hama!. but kama uwezo huo haupo, stay where selected by tcu!
nimekuelewa lakn hapo kwenye neno yako la"Waogo" tu ndo cjaelewaa..
 
Back
Top Bottom