napenda movie
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 543
- 481
- Thread starter
- #21
kwa kawaida ili ku actvate box ama dongle hua ni kila mwaka jalibu ku actvate na ulipie hiyo huduma hua sio buremkubwa niko na flashing box za piranha na volcano hazifanyi kazi sasa hivi maana developers wamesitisha kuzisapoti sijui unanishaurije
lakini kuna clack zenye nguvu zinazoweza kufanya kazi kuzidi hadi box ama dongle moja ya tool hiyo ni miracle thunder 3.04 ina nguvu sana hii kiasi kwamba box na dongle zikajipange upya maana inaweza kupita hadi na baadi ya simu za oppo ivyo unaweza tafuta hiyo clack ikiwa servce ya box zako iko off na ukaenjoy maisha kama mwanzo