Kwa wenye shida upande wa Software za simu na tool tukutane hapa

Kwa wenye shida upande wa Software za simu na tool tukutane hapa

kama unayo volcano ile red kuna tools hapo ndani wameiweka ni tamu sana inferno tool kuna mtk spd qul kwa wastani iko poa.ila ukiwa na lile box jeupe na jeusi uwa ajaja nayo unaifanyia activation unatumia

download (2).jpeg
 
Mkuu namna gani naweza kubadilisha imei ya simu yangu? Simu ni Tecno POP4
 
Back
Top Bottom