Wakuu mtu yeyote ambaye yuko serious anatafuta dawa za miti shamba kwanza lazima upate dawa ya kuharisha malendamalenda.mwanamme yeyote asiepata choo vizuri nguvu lazima iwe ZIRO,Acheni kula vyakula vya baridi,vyakula vya makopo,nyama yenye mafuta,ugali uliokobolewa,muwe mnatibu minyoo kwani nayo huvuruga nguvu za ikulu.Namjua mzee flani yuko Kihurio kwa wapare yeye ana dawa na sio ya kubahatisha na watu wanaenda na magari toka mijini hadi kwake.