Kwa wenye tatizo la nguvu za kiume dawa ipo

Kwa wenye tatizo la nguvu za kiume dawa ipo

watu sasa iv wamegundua kuwa ni dili wanachukua mitishamba ya kubahatisha tu wanapiga ela. kwa kifupi 90% ya wauza dawa za nguvu za kiume ni feki. mm nimetapeliwa sana na hawa jamaa kuanzia wamasai nk

MZIZI MKAVU ni jibu sahihi kabisa kwa tatzo lako kiongozi.
 
Albosignathus,

Hebu tuelekeze tuende huko basi. Kijiji? Mtaa? Kata? Simu? Ila tusije kuta ni wale wale wanaokula hela za watu kwa kutuuzia pumba za mbao.

Saana Tu

Wakuu mtu yeyote ambaye yuko serious anatafuta dawa za miti shamba kwanza lazima upate dawa ya kuharisha malendamalenda.mwanamme yeyote asiepata choo vizuri nguvu lazima iwe ZIRO,Acheni kula vyakula vya baridi,vyakula vya makopo,nyama yenye mafuta,ugali uliokobolewa,muwe mnatibu minyoo kwani nayo huvuruga nguvu za ikulu.Namjua mzee flani yuko Kihurio kwa wapare yeye ana dawa na sio ya kubahatisha na watu wanaenda na magari toka mijini hadi kwake.
 
tiba kubwa kabisa ni mazoezi na kunywa maji kwa wingi
 
Kwa anayetaka dawa ya nguvu ya kiume ya uhakika anipm hiyo haikwepeshi ni full speed guaranteed money back
 
Back
Top Bottom