LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 674
watu sasa iv wamegundua kuwa ni dili wanachukua mitishamba ya kubahatisha tu wanapiga ela. kwa kifupi 90% ya wauza dawa za nguvu za kiume ni feki. mm nimetapeliwa sana na hawa jamaa kuanzia wamasai nk
MZIZI MKAVU ni jibu sahihi kabisa kwa tatzo lako kiongozi.