Kwa wenye uelewa zaidi na mambo ya NSSF naomba msaada

Dallas green

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2019
Posts
1,377
Reaction score
2,800
Wakuu, nilirequest mtonyo wangu uko NSSF ten days ago ambapo nilisubmit all recquirments.

Jana nimeangalia kwa account nimeandikiwa paid lakin nikaenda bank sijaona mtonyo, kwakua leo ni jumapili nmefail kuwafata ofisini hivyo naomba mwenye uelewa na haya mambo anieleweshe nini tatizo hapo.

Natanguliza shukrani.
 
Baada ya kukamilisha kila kitu kwa maana ya documentations na kusubmit unasubiri siku 30 za kazi. Yaani utoe holidays na weekends zote ndo itasoma
Sawa mkuu nashkuru japo nilipata waswas kidgo kuandikiwa paid nkajua ndo tayar mtonyo kumbe nna safari ya siku 20 kusubiri
 
Wakuu, nilirequest mtonyo wangu uko NSSF ten days ago ambapo nilisubmit all recquirments.

Jana nimeangalia kwa account nimeandikiwa paid lakin nikaenda bank sijaona mtonyo, kwakua leo ni jumapili nmefail kuwafata ofisini hivyo naomba mwenye uelewa na haya mambo anieleweshe nini tatizo hapo.

Natanguliza shukrani.
Ukiunyaka hui mpunga usisahau Kuja hapa tukupe business ideas
 
Wakuu, nilirequest mtonyo wangu uko NSSF ten days ago ambapo nilisubmit all recquirments.

Jana nimeangalia kwa account nimeandikiwa paid lakin nikaenda bank sijaona mtonyo, kwakua leo ni jumapili nmefail kuwafata ofisini hivyo naomba mwenye uelewa na haya mambo anieleweshe nini tatizo hapo.

Natanguliza shukrani.
Anytime mtonyo utasoma, jipe siku nne za kazi afu ukacheki.
 
Back
Top Bottom