Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Sawa mkuu nashkuru japo nilipata waswas kidgo kuandikiwa paid nkajua ndo tayar mtonyo kumbe nna safari ya siku 20 kusubiriBaada ya kukamilisha kila kitu kwa maana ya documentations na kusubmit unasubiri siku 30 za kazi. Yaani utoe holidays na weekends zote ndo itasoma
Subir huwa inasoma yenyewe baada ya huo mudaSawa mkuu nashkuru japo nilipata waswas kidgo kuandikiwa paid nkajua ndo tayar mtonyo kumbe nna safari ya siku 20 kusubiri
Asante kakaSubir huwa inasoma yenyewe baada ya huo muda
Naskia hao jamaa wanatoa pesa ila kama kuna zingine zipo nssf inabid ukatoe kwanza nssfSisi wa PSSSF huu uzi hautuhusu
Ukiunyaka hui mpunga usisahau Kuja hapa tukupe business ideasWakuu, nilirequest mtonyo wangu uko NSSF ten days ago ambapo nilisubmit all recquirments.
Jana nimeangalia kwa account nimeandikiwa paid lakin nikaenda bank sijaona mtonyo, kwakua leo ni jumapili nmefail kuwafata ofisini hivyo naomba mwenye uelewa na haya mambo anieleweshe nini tatizo hapo.
Natanguliza shukrani.
Shukrani mkuuUkiunyaka hui mpunga usisahau Kuja hapa tukupe business ideas
Anytime mtonyo utasoma, jipe siku nne za kazi afu ukacheki.Wakuu, nilirequest mtonyo wangu uko NSSF ten days ago ambapo nilisubmit all recquirments.
Jana nimeangalia kwa account nimeandikiwa paid lakin nikaenda bank sijaona mtonyo, kwakua leo ni jumapili nmefail kuwafata ofisini hivyo naomba mwenye uelewa na haya mambo anieleweshe nini tatizo hapo.
Natanguliza shukrani.
Thanks kakaAnytime mtonyo utasoma, jipe siku nne za kazi afu ukacheki.
Habari Mkuu,hivi ikiandika lodged kwenye status ni hatua gani hiyo?Subir huwa inasoma yenyewe baada ya huo muda
Soma kwanza tenaBaada ya kukamilisha kila kitu kwa maana ya documentations na kusubmit unasubiri siku 30 za kazi. Yaani utoe holidays na weekends zote ndo itasoma
Siyo kweli,pesa inaingia muda siyo mrefuSawa mkuu nashkuru japo nilipata waswas kidgo kuandikiwa paid nkajua ndo tayar mtonyo kumbe nna safari ya siku 20 kusubiri
Kweli pesa ilingia baada ya siku mojaSiyo kweli,pesa inaingia muda siyo mrefu
Maana yake ipo under processHabari Mkuu,hivi ikiandika lodged kwenye status ni hatua gani hiyo?
Ndo hivyo ila hapa jf Kuna wapumbavu wengi sana.Kweli pesa ilingia baada ya siku moja