Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Kampuni niliyokuwa naifanyia kazi mara ya kwanza ilikuwa liquidated, nikapewa mafao 2M kipindi hicho (Y2K), sikuifanyia lolote zaidi ya kuzinywa na kurekebisha tabia za warembo!!
Only if wishes were horses...huh!
Kipindi hicho nilipewa mradi wa biashara kuiendesha(kusimamia) lakini kwa uzembe za kupenda anasa baada ya kuwa na pesa nyingi vilinipotezea nikashindwa kufanya mambo mengi ya msingi katika maisha, nikaja kuamka wakati nanyang'anywa mradi.
Natamani muda huo ungekuwa sasa kwani maisha nilichezea leo hii nalala njaa... CHEMSHA BONGO.
Kampuni niliyokuwa naifanyia kazi mara ya kwanza ilikuwa liquidated, nikapewa mafao 2M kipindi hicho (Y2K), sikuifanyia lolote zaidi ya kuzinywa na kurekebisha tabia za warembo!!...Only if wishes were horses...huh!
halo halo.Ben bana.Mmh,nitakuambia siku nyingine
Kampuni niliyokuwa naifanyia kazi mara ya kwanza ilikuwa liquidated, nikapewa mafao 2M kipindi hicho (Y2K), sikuifanyia lolote zaidi ya kuzinywa na kurekebisha tabia za warembo!!
Only if wishes were horses...huh!
Hahahaha mimi kitu nilichofanya nikaja kujutia lkn sasa hivi majuto yameisha ni kwamba ktk biashara zangu nilifanikiwa kuwa na saving kubwa. Sasa nilipokuwa nimepanga nyumba watoto wa kike wa mama mwenye nyumba walikuwa waanichokonoa sana kwa kero za kila namna sijui ilikuwa ni wivu maana nilikuwa dogo nina shughuli zangu wao wanashinda home tu!
Siku moja kero zikanizidi rohoni nilikuwa na kiwanja nikatafuta fundi ujenzi nikamwonyesha ramani akafanya quotation, bila kufikiria nikajenga nyuma nzima hadi ikaisha nikahamia na visent vyangu benki navyo vikaisha na biashara ikayumba halafu sikuwa na hela za kuisave biashara, nilitamani kuchanganyikiwa na jumba nilliliona kama kaburi, watu walikuwa wananipa hongera wanasema mambo yako supa lkn walikuwa hawajui rohoni nilikuwa na crisis!
NAMSHUKUU JEHOVA HIRE AMENIVUSHA NA SASA NAENDELEA VIZURI TENA lkn nilijifunza mambo mengi kutokana na kosa hilo.
SOMEWHERE IN BETWEEN ndio nimeoa!
sasa sina uhakika kama NIMEKOSA MIMI,NIMEKOSA MIMI,NIMEKOSA SANA
kuanzia 25.............hun kisanga Geoff 🙂