Kwa wenye uzoefu na discontinuity

Kwa wenye uzoefu na discontinuity

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,293
habari bandugu,
nina dogo hapa alikua anasoma Sua akamaliza mwaka wa kwanza course ya natural conservation ame disco.
Baada ya kupata matokeo hayo fasta aka aply tcu upya amepata sekomu bsc in eco tourisim and natural conservation ndo ameenda ku report.
Sasa kwa Sua alikua na mkopo 20% je kuna namna huko alikoenda afanye apate mkopo? Wenye kujua hili naomba mnisaidie manake hali ni mbaya
 
Naskia lazima arudishe 25% ya alichotumia kwanza..sina uhakika lakini.
 
pouwa ngoja nilifatilie kwa ukaribu kama ni hyo 25 sio ishu bado ni hela ndogo kuliko kujisomesha
 
pouwa ngoja nilifatilie kwa ukaribu kama ni hyo 25 sio ishu bado ni hela ndogo kuliko kujisomesha

hata akilipa hio 25%, hawezi kupata mkopo kwa mwaka huu wa masomo.
Alitakiwa kulipa hio asilimia mapema kisha aombe mkopo upya, kama alikua anahitaji mkopo kwa mwaka huu wa masomo.
Asubiri mwakani ndio aombe mkopo, ila mwaka huu ataruhusiwa kulipa hio asimia tu!
 
Kimsingi mkataba wa loan board ni miaka mitano hivyo bado ana miaka minne. Nenda sasa kalipie hiyo 25 % kisha mwezi wa kwanza atapewa Pesa yake. Usiogope
 
Alipe 25% ya jumla ya mkopo mzma wa mwaka jana kisha aombe coz priorty atapata tu.otherwise anaweza kurudisha na asipate te?a
 
mkuu hapo amesha chemsha mbona maana ilibidi arudishe kwanza hiyo pesa kabla ya kuomba upya then afanye application upya ila kwa mwaka huu imekula kwake
 
Back
Top Bottom