Bas wanakuja wataalamu wa hayo mambo.[emoji23][emoji23][emoji23]wala siyo hivyo mkuu kwani ndumba zimeanza leo??ni katika kuongeza maarifa tu maana Elimu haina ukomo
Kweli vyuma vimekaza
Na bado.Kweli vyuma vimekaza
Hatari watu wanatafuta plan BNa bado.
Mzee wa msoga alilemaza vijana, eti mission town, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni noma[emoji849]
Hapo sasaMkuu usijaribu kulamizimisha kuvuta rizki kwa nguvu hizo ni pesa za giza mkuu utajuta na utakuwa na simanzi daima utaangamiza familia yako yote kwa pesa za giza wanaanzia na damu ya samaki,watakwambia ya kuku au panya au ya sungura,watakuja ya mbuzi na ng'ombe kulinda mali mwishowe ya familia yako eidha watoto,mkeo au wazazi wako mkuu faida yake iko wapi ikiwa watu wa kula nao pesa yako utawapoteza.
wala usitumie dawa. Dawa zipo sema hatuzijui ila nakupa moja kama unaishi karibu na ziwa au bahari bas kachote yale maji kwenye kidumu kisha chota na mchanga wake kiasi dumbukiza ndani baada ya hapo rudi nayo home unapokua unataka kwenda kwenye biashara oga vizuri badae jisuuze na hayo maji yako kama una biashara utashangaa inaenda vizuri tuHabarini za leo ndugu zangu,
Sitaki kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye lengo,
Humu ndani kuna watu wenye shughuli mbalimbali wapo waliofanikiwa kupitia biashara,kilimo ajira n.k
Napenda kupata msaada wa mawazo kwa wale ambayo wamefanikiwa biashara zao kupitia kwa waganga wa jadi,japo tuna imani tofauti tofauti lkn hatuwezi kukataa uwepo wa jadi ambayo ni asili yetu.Waliofanikisha mambo yao kupitia waganga wa kienyeji watupe udhoefu na kwa namna gani walifanikisha mambo yao,maana sote tu watafutaji na katika utafutaji kuna njia mbalimbali za kupita ili kufikia malengo.Karibuni
Umenena mkuu mungu ndo mpaji tuu.Mkuu usijaribu kulamizimisha kuvuta rizki kwa nguvu hizo ni pesa za giza mkuu utajuta na utakuwa na simanzi daima utaangamiza familia yako yote kwa pesa za giza wanaanzia na damu ya samaki,watakwambia ya kuku au panya au ya sungura,watakuja ya mbuzi na ng'ombe kulinda mali mwishowe ya familia yako eidha watoto,mkeo au wazazi wako mkuu faida yake iko wapi ikiwa watu wa kula nao pesa yako utawapoteza.