Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

Mkuu,
Usiogope jipe moyo na fanya unachoona kinafaa asilimia 80% ya waTz hawaamini uchawi, pia hadithi za uganga wa kutoa kafara ndugu zimeshamiri kila kona na kupandikiza imani tofauti, sio kila mganga atakupa masharti magumu na ya ajabu hapana si kweli bali inategemea na mganga huyo,

Pia kwa kuwa unahitaji msaada basi nitakuambia kwa mawazo tu, kwanza inategemea na biashara uifanyao ni kubwa au ndogo kiasi gani... ??
Uchawi upo wa aina nyingi kuna uchawi wa mizimu, uchawi wa Freemasons, uchawi wa illuminati, kitu kigumu ni kutafuta wakala au mtu ambaye atakuunganisha,
Nafikiri nchi ya Malawi na Nigeria ndiyo waganga wake hawana masharti magumu.

si rahisi kama unavyo fikiri kaa chini tulia fikiri kwa kina halafu ufanye maamuzi sahihi.

Kila la kheri ukifanikiwa leta mrejesho.
 
Mimi nipo kkoo miaka 15 sasa na cwez kuwasemea watu ila mi cjawah kuona muujiza kwenye biashara zaid ya mzigo mzur na kwa bei nzur kwa wakat mengine yote ni mbwembwe tu. Ndio maana nikakwambia inawezekana hayo mawazo yako yanaakis ulikozaliwa ckupingi. Kanuni moja kuu ya biashara ni kuwa biashara inafanyika unaponunua sio unakokwenda kuuzia mzigo so ukiupata kwa bei nzur ndio unakurahisishia kuuza kirahic. Achana na mawazo mfu.halafu unavyotafuta hela ucwaangalie watu. Unatakiwa kuangalia ndoto zako tu. Ukitizama watu ndio tamaa zinakushika na ndipo mawazo ya uchawi yanakuja.
Mwambie huyo brother
 
Wanaotumia uchawi mara nyingi huwa wafia dini kweli kweli pia wanajifanya hawajui kuhusu uchawi
 
Kwa imani yako ndogo uliyonayo ndo inakufanya usiamini kuwa mungu anaweza,mungu alipokuumba anajua kuhusu maisha yako na kwake kuna utajiri wa kila aina,mungu ndio awezaye kukupa utajiri wa kudumu tuu wengine ni matapeli tuu,inakuwaje mganga akupe utajiri wakati yeye ni maskin kuliko wewe?kwenye dunia hii hakuna mtu aliyekuwa tajiri kama suleman na utajiri wake alipewa na mungu.mungu wetu ni tajiri.
Selemani alikuwa tajiri kupita DANGOTE
 
Ndumba huwa ni mkombozi wa wanyonge.Jamaa mmoja alichukua mkopo akabuni biashara na ikaanza kuchanganya lakini Mara paap jamaa moja llenye mihela likafingua biashara kama hiyo kwa ubora zaidi jirani na jamaa kwa jeuri ya pesa, guess what! Like jamaa mpaka Leo RIP, na mshikaji kamaliza mkopo na anafanya biashara yake. Ukidharau ndumba basi hayaja kukuta Sena machache ukalale. OK endelea kutafuta utapata.
Huku kwenye kilimo bila ndumba kila Mwaka utaisoma namba hats ulime kwa umwagiliaji.Kwenye ajira ndo usiseme,ila kama hayajakukuta huwezi amini
 
Kamaa mafanikio ni kwa uganga, wahitaji au wafanya biashara wote wakienda kwa mganga nguri, itakuaje? Dawa kubwa ni mtaji, kujituma kufanya hiyo kazi, mahusiano mazuri na wateja, na mpangilio mzuri wa mapato yako.
 
Mkuu usijaribu kulamizimisha kuvuta rizki kwa nguvu hizo ni pesa za giza mkuu utajuta na utakuwa na simanzi daima utaangamiza familia yako yote kwa pesa za giza wanaanzia na damu ya samaki,watakwambia ya kuku au panya au ya sungura,watakuja ya mbuzi na ng'ombe kulinda mali mwishowe ya familia yako eidha watoto,mkeo au wazazi wako mkuu faida yake iko wapi ikiwa watu wa kula nao pesa yako utawapoteza.
Hatah! amatumie kokolo hapati kitu!!!!!!!
 
wala usitumie dawa. Dawa zipo sema hatuzijui ila nakupa moja kama unaishi karibu na ziwa au bahari bas kachote yale maji kwenye kidumu kisha chota na mchanga wake kiasi dumbukiza ndani baada ya hapo rudi nayo home unapokua unataka kwenda kwenye biashara oga vizuri badae jisuuze na hayo maji yako kama una biashara utashangaa inaenda vizuri tu
Hii inaitwa tiba ya maji ya chumvi... Sio lazima atumie maji ya bahari anaweza tumia maji yeyote alafu akaweka chumvi na kuogea...

mshana jr
 
Hapa watakukejeli kukudharau nk lakini asilimia tisini walofanikiwa wana siri zao chini ya capeti na wao wanakuwa wa kwanza kudharau hizo mila na hata iweje hapa hutapata jibu ila hayo mambo yapo na kila mtu yanamsaidia kivyake . Ingia porini kivyako na wala usimshirikishe mtu haya mambo
 
Habarini za leo ndugu zangu,

Sitaki kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye lengo,

Humu ndani kuna watu wenye shughuli mbalimbali wapo waliofanikiwa kupitia biashara,kilimo ajira n.k

Napenda kupata msaada wa mawazo kwa wale ambayo wamefanikiwa biashara zao kupitia kwa waganga wa jadi,japo tuna imani tofauti tofauti lkn hatuwezi kukataa uwepo wa jadi ambayo ni asili yetu.Waliofanikisha mambo yao kupitia waganga wa kienyeji watupe udhoefu na kwa namna gani walifanikisha mambo yao,maana sote tu watafutaji na katika utafutaji kuna njia mbalimbali za kupita ili kufikia malengo.Karibuni

Niletee utumbo wa sisimizi changaanya na litaa mojaa yaa damu ya nzi kishaa wekaa kwenye kona nne zaa chumba chaako chimbia chini baada ya hapo tafuta kuku mweusi mchinje hakikishaa unapataa damu lita tatu zaa huyo kuku kisha utatumiaa kuoshaa uso na mikono kabla hujaendaa biasharani masharti: haakikisha upo uchi kilaa unapofanya hayo pia haakikishaa mtu aasikusaalimie ikuongeleshe ad ufike kazini kwako[emoji74][emoji74][emoji74][emoji74][emoji74] utakujaa kunishukuru[emoji1378][emoji1378][emoji1378][emoji1378][emoji1378][emoji1378]
 
Kaka ni kweli hakuna watu wanafiki Kama hii ngozi yaani wanajifanya wafia dini kumbe wana mambo yao chini ya kapeti
Niletee utumbo wa sisimizi changaanya na litaa mojaa yaa damu ya nzi kishaa wekaa kwenye kona nne zaa chumba chaako chimbia chini baada ya hapo tafuta kuku mweusi mchinje hakikishaa unapataa damu lita tatu zaa huyo kuku kisha utatumiaa kuoshaa uso na mikono kabla hujaendaa biasharani masharti: haakikisha upo uchi kilaa unapofanya hayo pia haakikishaa mtu aasikusaalimie ikuongeleshe ad ufike kazini kwako[emoji74][emoji74][emoji74][emoji74][emoji74] utakujaa kunishukuru[emoji1378][emoji1378][emoji1378][emoji1378][emoji1378][emoji1378]
 
kiukweli utajiri hausitawi bila ndumba, namaanisha huwezi miliki utajiri bila kuwa muumini wa kiza. matajiri wote unaowaona wanasili nzito na hutokaa kuijua juu ya Mali wanavyomiliki. sisi waoga tukubalini na hali zetu tu tukipata hela ya kula tulidhike tu lakini maisha ya utajiri huku yesu yesu..sahau hilo
Mi nafahamu mtu mmoja ambaye hatumii ndumba na ana ela balaa
 
Duuh ngoja mwezi March nikachinje mbuzi ya maana, afu nisikilizie upepo.
 
kiukweli utajiri hausitawi bila ndumba, namaanisha huwezi miliki utajiri bila kuwa muumini wa kiza. matajiri wote unaowaona wanasili nzito na hutokaa kuijua juu ya Mali wanavyomiliki. sisi waoga tukubalini na hali zetu tu tukipata hela ya kula tulidhike tu lakini maisha ya utajiri huku yesu yesu..sahau hilo
Nakubaliana na wewe 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom