goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Mkuu,
Usiogope jipe moyo na fanya unachoona kinafaa asilimia 80% ya waTz hawaamini uchawi, pia hadithi za uganga wa kutoa kafara ndugu zimeshamiri kila kona na kupandikiza imani tofauti, sio kila mganga atakupa masharti magumu na ya ajabu hapana si kweli bali inategemea na mganga huyo,
Pia kwa kuwa unahitaji msaada basi nitakuambia kwa mawazo tu, kwanza inategemea na biashara uifanyao ni kubwa au ndogo kiasi gani... ??
Uchawi upo wa aina nyingi kuna uchawi wa mizimu, uchawi wa Freemasons, uchawi wa illuminati, kitu kigumu ni kutafuta wakala au mtu ambaye atakuunganisha,
Nafikiri nchi ya Malawi na Nigeria ndiyo waganga wake hawana masharti magumu.
si rahisi kama unavyo fikiri kaa chini tulia fikiri kwa kina halafu ufanye maamuzi sahihi.
Kila la kheri ukifanikiwa leta mrejesho.