watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Tunaangalia kiasi,Matapeli wapo kila kona
Huu sio Uchochezi? Cyber unit waje😅1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50
2. Wachungaji wengi waliotabiriwa kuwa fake pastors hutokeo Mbeya.
[emoji23] dahKaribu kitengo cha comment pole na uchovu, tea or coffee !?
hivi utapeli ni ujanja ?Wanyakyusa sio washamba ukilinganisha na makabila mengine
Watu wa mbeya Kwa kweli ni hatari mimi nikiona kanisa linaongozwa na mtu wa huko napita mbali sana hata kama ni mchungaji wa makanisa ya kawaida nawaogopa kama ukoma1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50
2. Wachungaji wengi waliotabiriwa kuwa fake pastors hutokeo Mbeya.
Tangu lini? Au tangu ustaafuWatu wa mbeya Kwa kweli ni hatari mimi nikiona kanisa linaongozwa na mtu wa huko napita mbali sana hata kama ni mchungaji wa makanisa ya kawaida nawaogopa kama ukoma
Tatizo linaanzia hapo kwenye namba 2. Ukiona eneo, mji,jiji au nchi inaongoza kwa kuwa na makanisa haya yanayojiibukia kama uyoga, makanisa ya watu binafsi,manabii,mitume n.k. shtuka, kimbia.1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50
2. Wachungaji wengi waliotabiriwa kuwa fake pastors.
Kofi la shavu nitoe wenge na kuuona mji.Senkyu!Karibu kitengo cha comment pole na uchovu, tea or coffee ☕!? 😹
Coffee please.....Karibu kitengo cha comment pole na uchovu, tea or coffee ☕!? 😹
Utapeli upo Kila mahali,pole mkuu yamekukuta!1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50
2. Fake pastors wanaoishi maisha ya kifahari, kufanya miujiza yenye mashaka huku wakikwepa mahospitali, kutabiri vitu visivyotimia, kujipa vyeo vya kiroho, n.k.
Gwajima nae ni mnyakyusa!mhaya»JANJA JANJA&wizarani,
mnyakyusa»INJILI&janja janja,
MCHAGA»BIZNEZZ.(biashara)
n.k
M=m.h.c.n»»