Kwa wivu mbaya uliokuwa nao halafu unataka kumiliki bastola

Kwa wivu mbaya uliokuwa nao halafu unataka kumiliki bastola

RIGHT MARKER

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
129
Reaction score
473
📖Mhadhara (74)✍️
Waswahili wanasema wivu ni kachumbari ya mapenzi, lakini kuna wanaume wana wivu mbaya sana kwa wake zao licha ya wao wenyewe ni wahuni walioshindikana.

Wapo wanaume ambao wana tabia zifuatazo....
✓ Mke akienda sokoni akirudi anafanyiwa ukaguzi wa mwili, kama vile kukaguliwa sehemu zake za siri, kupekuliwa simu yake, kunuswa nguo zake za ndani, kuulizwa maswali mengi ya mtego, au kufuatiliwa kwa nyuma wakati wa kutoka ndani.

Halafu wanaume wenye wivu wa namna hiyo wanaomba kumiliki silaha za moto (bastola) za kujilinda, yaani ni kama kujichimbia kaburi lako mwenyewe.

RIGHT MARKER,
DAR ES SALAAM.
 

Attachments

  • 1735898888666.jpg
    1735898888666.jpg
    178.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom