Kwa yale ambayo ameyafanya Rais mpaka sasa anafaa kupongezwa sana

Kwa yale ambayo ameyafanya Rais mpaka sasa anafaa kupongezwa sana

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Tufikie hatua tuweke pembeni tofauti zetu. Naona kuna mwanga mkubwa mbeleni kwa mwenendo ambao unaonekana kwa matendo ya Rais.

Ni Rais mchapa kazi na ana nia ya dhati ya kufanya kazi na watanzania wote. Naamini akiendelea hivi kuna siku tutakuwa na nchi nzuri huko mbeleni. Hili la kuruhusu Mikutano anastahili pongezi. Alikuwa na uwezo wa kuzuia.

Safari ni hatua.

Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko.
 
Back
Top Bottom