Kwa yalionipata nimekoma kufanya mapenzi gizani

Duuh! huyo dada nae kakukomoa tuu anatumiaje meno? na wewe ulikuwa husikii maumivu?
 
si yale menooo, Yamekatika katika na ile rang ndo kbsaaa, Uskasike lkn mm mwenyewe wa huko huko[emoji12] [emoji12]
Hakuna mwanamke nampenda kama mwenye meno ya kiarusha yale ya rangi rangi.

Ila hii story ya jamaa kidogo mmmhhhh...!
 
Mimi simuachi namtafutia pampers si ni siri yangu sema kojo la mtu mzima mmh
 
Duh!!!hivi kuna watu wanakuwa hadi watu wazima bado wanakojoa kitandani.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwaio akati unakwaruzwa hukua unasikia maumivu??
Hawaskuagi huo kunakuwa na habari ingine tu hapo kusafisha bunduki na oil basi baada ya tendo hilo na mishipa kula na mawazo kutoka huko ndipo maumivu utayasikia.
 
Siku ukikutana na shemale uendeleze mtanange wako wa gizani, sawa eh?
 
Huenda pia kende zako mkuu ni "substandard"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…