Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Watu wa Moro kwenye ubora wenu eti mapambano mabovu
Omba pambano na Kiduku, acha kuruka ruka kama maharage yanayokaribia kuiva.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa Moro kwenye ubora wenu eti mapambano mabovu
Mimi kiduku namuua kabisa sio kumpiga tuOmba pambano na Kiduku, acha kuruka ruka kama maharage yanayokaribia kuiva.
Dulla mbabe Jana kamchana kamwambia asimuwazie Sana mwakinyo kama anajiamin yeye ni Bingwa atete mkanda wake wamtoe roho na ule ubongeOmba pambano na Kiduku, acha kuruka ruka kama maharage yanayokaribia kuiva.
Dulla mbabe Jana kamchana kamwambia asimuwazie Sana mwakinyo kama anajiamin yeye ni Bingwa atete mkanda wake wamtoe roho na ule ubonge
Mimi kiduku namuua kabisa sio kumpiga tu
Na sis tumesha malizana na bongo tunasonga mbele wewe ukikubal kurud nyuma na sisi tutarud nyumaTulishamalizana na Dulla, tunasonga mbele.
Sasa kama unajiamini, fanya maamuzi ya kiume, kubali kuingia ulingoni.
Na sis tumesha malizana na bongo tunasonga mbele wewe ukikubal kurud nyuma na sisi tutarud nyuma
Hatutoi Kiki sisi nafas tafuten kwa nguvu sio kwa mbelekoBasi endelea kulia lia kwamba hupendwi.
Sisi kazi kazi, show show.
Mlingoti Chuma, Bendera Chuma.
Na yeye anamtaka mwakinyo [emoji1787][emoji1787]Mfaume ni bondia mzuri....ila nina wasiwasi na uzito wake.... anahitaji kupiga chuma awe na ngumi nzito....kapiga ngumi nyingi....lakini zilikuwa nyepesi Sana.
Nimesha walipa nawasubir kwenye kampenUmeshalipa faini yetu?
We hujui ngumi kabisa ushindi wa ugenini hua ni KO peke yake ukimaliza kupewa ushindi ni ngumu sana kwa point ugenini ukitaka kujua hayo muulize man p alipo cheza na man moneyJana Azam TV na promoter walio dhamin mapambano sikuona kama walitaka kukuza Mchezo wa ngum na kuuendeleza Bali kuuharibu kabisa
Mapambano ya Jana Hasa lile la Mwisho la Mfaume Mfaume kila mtu kuanzia walio kua ndan ya ukumbi nje ya ukumbi mpaka Azam wenyewe walishangaa how Mfaume Mfaume Ameshinda kwa jinsi alivyo pigwa?
Tanzania Roho mbaya tu ndio inatusumbua Baadh ya wadhamin wanataka kulazimisha kila mtu awe Bingwa ili tu waweze kupata mapambano Sawa ni vizur basi tafuten mabingwa wa kweli Sasa kwa uozo kama ule anatoka mbele eti namtaka Mwakinyo Mwakinyo si atamuua???
Pambano ya Jana kidogo unaweza Sema alie stail kuitwa Bingwa ni Dulla Mbabe japo Ana tatizo la kuachia Sana ngum, za sura zimfikie sababu hil ni mbaya mana kama Bondia Ana pumz akikaza mpaka raund ya mwisho basi Dulla mbabe atakua kapigwa kwa point na Ndio mana Twaha kiduku Alimshinda
Ila naamin Twaha kiduku Akirudia na Dula mbabe Ameisha na kama kwel Anaona yeye ni Bingwa na Anastail kupigana na Mwakinyo basi na Yeye akubali Kurudia pambano kwanza na Dulla mbabe aone kama atatoboa
Mapambano ya Jana Yameshusha hadh na Heshima ya Ngum za Sasa Ambazo Mwakinyo kapambana mpaka kufanya mchezo wa ngum uwe na uwezo wa kuingiza watu Zaid ya maelf kwa usiku mmoja embu mpeni mwakinyo Heshima yake msitake kila mtu awe bingwa ubingwa acha autafute mwenyewe msiwabebe
Pia wachambuz wa Jana na wao walikua mashabiki wa mabondia wa tanzania sijui kama ndio sheria ilivyo ama laa Lakin Jana ilikua kituko na ilionyesha dhahir kua Baadhi ya Mabondia wengi hawampend Mwakinyo kwa kuangalia mwakinyo akiwa anapambana wanavyo chambua mchezo na mabondia wengine wakiwa wanapambana Mara nyingi akiwa mwakinyo Hua wanaponda Aina ya upiganaj wake ila wakiwa Hawa Mabondia uchwara Sasa utasikia Leo anaua mpinzani hafikish raund ya Tatu Mara mpige mbavu ya kulia tumbon ehe ehe shame on you Tanzania
Sasa kama Jana Yale Makelele yote ya mchambuz juu ya mpinzani kushambuliwa na mchambuz jua anakipaza saut plas mashabiki mpinzani unafikir atakua huru kurusha ngum au ndio kumtoa mchezon kisaikolojia?
Azam TV na promoter wengine kama kwel mnataka watu waendelee kuangalia Ngum tanzania Bado mwakinyo ananafas ya kufanya ivyo ila mkitaka mlazimishe Hawa Mabondia VITAMBI wenu mlio wapa ubingwa kwa kupigana wao kwa wao zitarud zama za kina cheka promota tbc na eatv kiingilio Buku na bado watu Mia hawafiki
Azam na promoter mnatakiwa mjisafishe juu ya aibu ya Jana either kwa kuwafukuza wale majaj au kuwasimamisha
Pia mpeni mwakinyo pambano aje haraka kulinda Iman na heshima ya ngum ilio kua tayar ipo kabla haijapotea najua anataka hela nyingi ila mkumbuke yeye ndie star wa mchezo
Ndiomana nakwambia mabingwa na machampion pekee ndio Hua wanashinda ugenn kama kina mwakinyo sheria ya kwamba ugenini ni lazima upigwe ipo kwa kina dullaWe hujui ngumi kabisa ushindi wa ugenini hua ni KO peke yake ukimaliza kupewa ushindi ni ngumu sana kwa point ugenini ukitaka kujua hayo muulize man p alipo cheza na man money
Mkuu ningekua nimesoma coment yako angesema nimekukop na mm nimemtolea mfano Kama huu wako tatizo hata wasio jua ngumi na wao wanajua wamekua wachambuzi wa ngumiKaribu Duniani kote,mwenyeji akimaliza round zote,mgeni huna chako. Hata Mayweather kwa Pacquiao lililofanyika Marekani watu walilalamika Mayweather amepigwa.
Halafu Azam ndio wameipa promo Ngumi kwa kuzionesha hatua kwa hatua tokea wakiwa mazoezini mpaka kwao mpaka Siku ya pambano. Hata Mpira wa bongo wameuongezea thamani kwa kuuonesha. Mwakinyo ni factor ndogo sana
Wewe ni mgeni ngumi, ama la umetumwa, enzi za matumla na Marwa Azam ilikuwepo?Azam wamesaidia nn wakat azam walikua zao bize kurusha ngum za nje na kfc uku kina matumla na cheka tukiishia kuwaona eatv na tbc wakipambana kwa viingilio Vya buku mbil mbil jero na mapromoter kusepa na hela Leo mwakinyo katoka atokako azam wakamuona Dil na pambano la kwanza mwamba akajaza kama msanii wa Muzik vile Tena mond au Kiba toka apo wa kaanza kuzaliwa mabondia sambusa wengine walikua wamestafu wamerud maziezin
Kipind mwakinyo ajaanza kupigana hapakuwahi kutokea bondia alie Pata watu hata Mia 2 kwenye pambano moja ila toka mwakinyo kaanza ni yeye pekee ndie alie Pata maelf ya watizamaj plas wazamin na yeye ndio Kafanya watanzania wengi tunafatilia ngum [emoji849][emoji849][emoji1787]
Ni kweli ndugu Mwakinyo akicheza na Dulla au Showshow hatoboi na hata mwenyewe anajuaWe sijui ni mgeni wa ngumi? huyo Mwakinyo mwenyewe anasema kuna pambano hajapigwa ila alinyang'anywa kwa kuwa alishinda kwa point ugenini.
Ukitoa pambano la mfaume mapambano yote hayana shaka ukiacha pambano la kwanza ambalo kuna controversial mpaka sasa kama ni Technical draw au knockout.
Hao wachambuzi walikua neutral tu walimsifia sana yule Mzimbabwe na wakawa wanashauri Mfaume asjiachie sana...kwenye matokeo waligoma kutabiri,kwani lazima unganisha facts ujipe matokeo mwenyewe.
Tena kidunda ni mtu mbadi sanasasa mfaue mfaue kapigwaje wakati mpinzani wake alikua anajilinda tuu harushi ngumi za maana
na unaposema aliestahili kuitwa bingwa ni dulla mbabe una maana gani wakati TONY RASHID,SELE KIDUNDA WOTE WAMESHINDA KWA KNOCKOUT
Mwakinyo anashobo sana, mwakinyo wa kumnanga Matumla.Hata akiwa kwenye uchambuzi Azam maneno mengi ya shobo tuHatukatai mwakinyo alibebwa lile pambano but turud kwa wachambuz mabondia wakongwe wabongo walivyo kua Wana mnanga kwenye ulingo toka mwanzo wa pambano mpaka mwisho alafu turud kwenye mbeleko za Hawa mabondia wenu wa dar mpaka Moro Yan ngum wanapigwa na sifa wanapewa kibao ila mwakinyo alipondwa mpaka aka panick