Kwa yaliotokea Jana usiku wa mabingwa haraka Mwakinyo aandaliwe pambano

Kwa yaliotokea Jana usiku wa mabingwa haraka Mwakinyo aandaliwe pambano

Hatukatai mwakinyo alibebwa lile pambano but turud kwa wachambuz mabondia wakongwe wabongo walivyo kua Wana mnanga kwenye ulingo toka mwanzo wa pambano mpaka mwisho alafu turud kwenye mbeleko za Hawa mabondia wenu wa dar mpaka Moro Yan ngum wanapigwa na sifa wanapewa kibao ila mwakinyo alipondwa mpaka aka panick
Watu walimnanga Mayweather kwenye pambano la Pacquiao sembuse Mwakinyo?

Kama unataka kuwa the best kusemwa ni moja wapo ya challenges,Mwakinyo hakua amekomaa ndo maana ali react kwa maneno.
Kilichimkuta Mfaume jana kama kingetokea kwa Mwakinyo bado story zingekuwepo as tunajua yeye ndo the best kwenye masumbwi kwa sasa hapa bongo,suala la kusema kwasababu katokea Tanga na wanaobebwa ni watu wa Moro na Dar siyo kweli.Hata Sammata anasemwa kwenye football, naye anatokea Tanga?
 
Watu walimnanga Mayweather kwenye pambano la Pacquiao sembuse Mwakinyo?

Kama unataka kuwa the best kusemwa ni moja wapo ya challenges,Mwakinyo hakua amekomaa ndo maana ali react kwa maneno.
Kilichimkuta Mfaume jana kama kingetokea kwa Mwakinyo bado story zingekuwepo as tunajua yeye ndo the best kwenye masumbwi kwa sasa hapa bongo,suala la kusema kwasababu katokea Tanga na wanaobebwa ni watu wa Moro na Dar siyo kweli.Hata Sammata anasemwa kwenye football, naye anatokea Tanga?
Hawasemw wanao tokea tanga ila wanasemwa wenye mafanikio na uwezo
 
Hawasemw wanao tokea tanga ila wanasemwa wenye mafanikio na uwezo
Ipo hivyo dunia nzima....ukiona husemwi sana ujue huna kitu cha ziada...Twaha Kiduku anamtaka Mwakinyo sababu anaona ni stepping stone kwenye mafanikio yake....Dulla alivyompiga KO Francis Cheka alipanda sana...vivyo hivyo kwa Twaha alivyompiga Dullah.
Watu lazima wamchallenge Mwakinyo kwa sababu yupo juu kwa sasa na ni wajibu wake kuwa prove wrong ulingoni.
 
Ndiomana nakwambia mabingwa na machampion pekee ndio Hua wanashinda ugenn kama kina mwakinyo sheria ya kwamba ugenini ni lazima upigwe ipo kwa kina dulla
Dullah hajawahi kushinda ugenini? like seriously?
 
Wanao shabikia mchezo wa ngumi za hapa kwetu me nawapa hongera.
Ndio, ni uzalendo kukipenda cha nyumbani, lakini sio mchezo wa ngumi.

Ngumi za bongo zimeshikwa na wajanja wa town, yani kabla ya pambano tayari bingwa keshajulikana.

Wakikuambia anakuja mpiganaji kutoka nje ya nchi basi ujue yashaandaliwa mazingira ya yeye kushindwa.

Usishangae ukaletewa mtalii tu ambaye wenda hata sheria ya mchezo wenyewe haujui.

Simnakumbuka pambano la Twaha kiduku na yule Mtailendi?

Bongo hatuko tayari kwenye mchezo wangumi, ninacho jua kuna wajanja kadhaa wanao nufaika kupitia ngumi.
Ulichosema ni kweli lakini hata huyo mwakinyo kuna mapambano kabebwa hakuna kitu kiufupi Mchezo wa ngumi bongo umeshikiliwa na wababaishaji wasiokua na shule.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeandika kwa hisia Sana
Jana Azam TV na promoter walio dhamin mapambano sikuona kama walitaka kukuza Mchezo wa ngum na kuuendeleza Bali kuuharibu kabisa

Mapambano ya Jana Hasa lile la Mwisho la Mfaume Mfaume kila mtu kuanzia walio kua ndan ya ukumbi nje ya ukumbi mpaka Azam wenyewe walishangaa how Mfaume Mfaume Ameshinda kwa jinsi alivyo pigwa?

Tanzania Roho mbaya tu ndio inatusumbua Baadh ya wadhamin wanataka kulazimisha kila mtu awe Bingwa ili tu waweze kupata mapambano Sawa ni vizur basi tafuten mabingwa wa kweli Sasa kwa uozo kama ule anatoka mbele eti namtaka Mwakinyo Mwakinyo si atamuua???

Pambano ya Jana kidogo unaweza Sema alie stail kuitwa Bingwa ni Dulla Mbabe japo Ana tatizo la kuachia Sana ngum, za sura zimfikie sababu hil ni mbaya mana kama Bondia Ana pumz akikaza mpaka raund ya mwisho basi Dulla mbabe atakua kapigwa kwa point na Ndio mana Twaha kiduku Alimshinda
Ila naamin Twaha kiduku Akirudia na Dula mbabe Ameisha na kama kwel Anaona yeye ni Bingwa na Anastail kupigana na Mwakinyo basi na Yeye akubali Kurudia pambano kwanza na Dulla mbabe aone kama atatoboa

Mapambano ya Jana Yameshusha hadh na Heshima ya Ngum za Sasa Ambazo Mwakinyo kapambana mpaka kufanya mchezo wa ngum uwe na uwezo wa kuingiza watu Zaid ya maelf kwa usiku mmoja embu mpeni mwakinyo Heshima yake msitake kila mtu awe bingwa ubingwa acha autafute mwenyewe msiwabebe

Pia wachambuz wa Jana na wao walikua mashabiki wa mabondia wa tanzania sijui kama ndio sheria ilivyo ama laa Lakin Jana ilikua kituko na ilionyesha dhahir kua Baadhi ya Mabondia wengi hawampend Mwakinyo kwa kuangalia mwakinyo akiwa anapambana wanavyo chambua mchezo na mabondia wengine wakiwa wanapambana Mara nyingi akiwa mwakinyo Hua wanaponda Aina ya upiganaj wake ila wakiwa Hawa Mabondia uchwara Sasa utasikia Leo anaua mpinzani hafikish raund ya Tatu Mara mpige mbavu ya kulia tumbon ehe ehe shame on you Tanzania

Sasa kama Jana Yale Makelele yote ya mchambuz juu ya mpinzani kushambuliwa na mchambuz jua anakipaza saut plas mashabiki mpinzani unafikir atakua huru kurusha ngum au ndio kumtoa mchezon kisaikolojia?

Azam TV na promoter wengine kama kwel mnataka watu waendelee kuangalia Ngum tanzania Bado mwakinyo ananafas ya kufanya ivyo ila mkitaka mlazimishe Hawa Mabondia VITAMBI wenu mlio wapa ubingwa kwa kupigana wao kwa wao zitarud zama za kina cheka promota tbc na eatv kiingilio Buku na bado watu Mia hawafiki

Azam na promoter mnatakiwa mjisafishe juu ya aibu ya Jana either kwa kuwafukuza wale majaj au kuwasimamisha

Pia mpeni mwakinyo pambano aje haraka kulinda Iman na heshima ya ngum ilio kua tayar ipo kabla haijapotea najua anataka hela nyingi ila mkumbuke yeye ndie star wa mchezo
Bongo nyoso


Mfaume alipigwa jana
 
Bingwa Kiduku chuma kile. Mwakinyo hamuwezi Twaha. Labda aruhusiwe waingie Mwakinyo na kabondia ka nyongeza ndio wapambane na Twaha
 
Mbongo akishinda kwa point basi kapigwa yeye, akimpiga mtu KO basi huyo bondia aliepigwa hamna anachojua

Kwa yaliotokea Jana kwa mfaume ni kawaida sana.. Hivi ushawahi kujiuliza kwanini TMT hapigani nje ya US, ulishawahi kuangalia pambano hata moja la TMT vs Pacman?, je Ni nan alishinda kihalali?

Kingine kwanini wabongo wengi hatupendi kusifia watu wakifanya vizuri, au mpaka mbongo apigwe ndo pambano liwe fair?

Pambano la Seleman kidunda lilikuwa la mkanda, pambano la tony Rashid lilikuwa la mkanda wa UBA hao wote wameshinda kwa kwa TKO, je hao waliopigwa walikuwa hawataki kushinda hiyo mikanda

Mwisho, mabondia wengi sana kama watakuwa wanakuja kipoapoa bongo watakuwa wanapigwa, huu mchezo kwa sasa unafatiliwa sana na hiyo ni chachu, hamna bondia wa bongo anataka apigwe, watapigika sana kwa KO
 
Mwakinyo Kawa maarufu bila azam kaja bingo tayar ni hero na kila mmoja alikua anajioendekeza kwake kuanzia serikal mpaka taasis binafs
Hivi huoni aibu dogo kuongelea mambo ya ndani ya mwanaume mwenzio?

Aibu nimeona mimi
 
Back
Top Bottom