Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,010
Watu walimnanga Mayweather kwenye pambano la Pacquiao sembuse Mwakinyo?Hatukatai mwakinyo alibebwa lile pambano but turud kwa wachambuz mabondia wakongwe wabongo walivyo kua Wana mnanga kwenye ulingo toka mwanzo wa pambano mpaka mwisho alafu turud kwenye mbeleko za Hawa mabondia wenu wa dar mpaka Moro Yan ngum wanapigwa na sifa wanapewa kibao ila mwakinyo alipondwa mpaka aka panick
Kama unataka kuwa the best kusemwa ni moja wapo ya challenges,Mwakinyo hakua amekomaa ndo maana ali react kwa maneno.
Kilichimkuta Mfaume jana kama kingetokea kwa Mwakinyo bado story zingekuwepo as tunajua yeye ndo the best kwenye masumbwi kwa sasa hapa bongo,suala la kusema kwasababu katokea Tanga na wanaobebwa ni watu wa Moro na Dar siyo kweli.Hata Sammata anasemwa kwenye football, naye anatokea Tanga?