Kwa yaliotokea Jana usiku wa mabingwa haraka Mwakinyo aandaliwe pambano

Hao mabondia wenu uchwara wasijaribu kuingia kwenye ring na mwakinyo watapasuka wafe tuanze kuomboleza msiba kitaifa... TUKUMBUKE MWAKINYO ALIONWA NA TEAM YA TMT JAMANI SIO MCHEZO NA WALITAKA WAMPE MKATABA SASA HAO MABONDIA WENU WA MANZENSE MABIBO NA MWANANYAMALA HAO KAZI KUBEBWA TU
TWAHA KIDUKU HUYU NI BONDIA
DULLA MBABE PIA
(LAKINI SIO LEVEL ZA MWAKINYO)
NA YULE JAMAA WA KUTOKA JWTZ
ILA HAO WENGINE HAO JAMANI
 
Omba pambano na Kiduku, acha kuruka ruka kama maharage yanayokaribia kuiva.
Dulla mbabe Jana kamchana kamwambia asimuwazie Sana mwakinyo kama anajiamin yeye ni Bingwa atete mkanda wake wamtoe roho na ule ubonge
 
Tulishamalizana na Dulla, tunasonga mbele.



Sasa kama unajiamini, fanya maamuzi ya kiume, kubali kuingia ulingoni.
Na sis tumesha malizana na bongo tunasonga mbele wewe ukikubal kurud nyuma na sisi tutarud nyuma
 
Ndio maana me napenda soccer tu. Mpira uingie golini ndio uhesabike umeshinda.
 
Mfaume ni bondia mzuri....ila nina wasiwasi na uzito wake.... anahitaji kupiga chuma awe na ngumi nzito....kapiga ngumi nyingi....lakini zilikuwa nyepesi Sana.
 
Haya maisha unaweza ukakomaa na kukaza ila yakakutoa kapa kama Chikondi
 
Mfaume ni bondia mzuri....ila nina wasiwasi na uzito wake.... anahitaji kupiga chuma awe na ngumi nzito....kapiga ngumi nyingi....lakini zilikuwa nyepesi Sana.
Na yeye anamtaka mwakinyo [emoji1787][emoji1787]
 
We hujui ngumi kabisa ushindi wa ugenini hua ni KO peke yake ukimaliza kupewa ushindi ni ngumu sana kwa point ugenini ukitaka kujua hayo muulize man p alipo cheza na man money
 
We hujui ngumi kabisa ushindi wa ugenini hua ni KO peke yake ukimaliza kupewa ushindi ni ngumu sana kwa point ugenini ukitaka kujua hayo muulize man p alipo cheza na man money
Ndiomana nakwambia mabingwa na machampion pekee ndio Hua wanashinda ugenn kama kina mwakinyo sheria ya kwamba ugenini ni lazima upigwe ipo kwa kina dulla
 
Mkuu ningekua nimesoma coment yako angesema nimekukop na mm nimemtolea mfano Kama huu wako tatizo hata wasio jua ngumi na wao wanajua wamekua wachambuzi wa ngumi
 
Wewe ni mgeni ngumi, ama la umetumwa, enzi za matumla na Marwa Azam ilikuwepo?
 
Ni kweli ndugu Mwakinyo akicheza na Dulla au Showshow hatoboi na hata mwenyewe anajua
 
sasa mfaue mfaue kapigwaje wakati mpinzani wake alikua anajilinda tuu harushi ngumi za maana

na unaposema aliestahili kuitwa bingwa ni dulla mbabe una maana gani wakati TONY RASHID,SELE KIDUNDA WOTE WAMESHINDA KWA KNOCKOUT
Tena kidunda ni mtu mbadi sana
 
Mwakinyo anashobo sana, mwakinyo wa kumnanga Matumla.Hata akiwa kwenye uchambuzi Azam maneno mengi ya shobo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…