Katiba ya CCM imekataza Azimio kama hilo kwenye zoezi la kutafuta mgombea wa urais.Mkuu zoezi la uchaguzi halijaanza, ila amefanikiwa kuwa na AZIMIO la mkutano mkuu, akili kubwa sana hiyo
Naitafuta hiyo katiba nione ni ibara gani iliyokataza mkutano mkuu kuweka AZIMIOKatiba ya CCM imekataza Azimio kama hilo kwenye zoezi la kutafuta mgombea wa urais.
Wamelazimisha tu kwa sababu hatuna utamaduni wa kuheshimu katiba.
Angalia Katiba ya CCM toleo la 2022 , ibara ya 100 (5) (c).Naitafuta hiyo katiba nione ni ibara gani iliyokataza mkutano mkuu kuweka AZIMIO
Alikufa Nyerere tukasema hivyo. Atajitokeza mwingine.Kikwete akifa kile chama watagawana mbao
Hapana hiki ni kizazi flani hivi ambacho kilikuwa serious sana na ccm sio hawa wakina JanuaryAlikufa Nyerere tukasema hivyo. Atajitokeza mwingine.
ndio saizi yaoChadema bila kupewa Lissu hali itakuwa mbaya
Nani wa kupasua CCM? ACHA KUOTA NDOTO ZA ALINACHA. Yaliyofanyika ni mipango tu ya kazi. Nani atatoa hiyo fomu?. Ilikuwa itolewe fomu moja tu.Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
SIasa, ni mchezo kama draft, CCM ikisha fanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasukko huo ungekua na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Shukrani MkuuAngalia Katiba ya CCM toleo la 2022 , ibara ya 100 (5) (c).
Msoga wana hali ngumu ila inabidi wasake tu chaka la kujificha maana makamu alikua wa upande wa Lowasa hujui sahivi na yeye anaenda na gia gani....labda kama wawe wameyajenga....ila msoga waliwekeza nguvu kubwa sana kwa January na wenzake,,,na upepo umebadilika ghafla kwahio lazima watafute sehem yakujishikiza na ambao kidogo zinaweza zikaiva ni wale wa Laigwanan kama wameweka tofauti zao kando..........Sukuma wanacheza kete kote kasoro upande wa msoga tuKwahiyo kambi msoga imeshinda?
Ngoja Sasa tusubiri kambi Marangu na Singida
Kuvunja katiba ya chama ni akili kubwa?Mkuu zoezi la uchaguzi halijaanza, ila amefanikiwa kuwa na AZIMIO la mkutano mkuu, akili kubwa sana hiyo
CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio
SIasa, ni mchezo kama draft, CCM ikisha fanya maamuzi ya kikatili ... maumivu kwa wale waliojeruhiwa
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete,
Haswa [emoji419][emoji419][emoji375]Chadema bila kupewa Lissu hali itakuwa mbaya
Kikwete ndo kazidiwa kete maana alitaka kuwaweka vijana wake na amefeliNilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
SIasa, ni mchezo kama draft, CCM ikisha fanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasukko huo ungekua na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Haha wanaficha aibu,,,,hao kete zao ilikua ni wale vijana wa wazuri hawafi ila kwa sasa lazima warukeruke waonyeshe pia na wao wamo........sahivi wanajipa moyo maana wameona kuna mwana mtandao mwenzao wa enzi hizo, ila wanasahau wao wenyewe walishaanza kucheza rafu na watu wanakumbuka kwahio watalipiza tuKikwete ndo kazidiwa kete maana alitaka kuwaweka vijana wake na amefeli
Watanzania wengi ni watu wa kwenda kwa emotions ukitaka kujadili mambo kwa facts hawawezi hata kutetea hoja zao kwa facts.Angekuwa mtoto wa mjini yeye na wenzake wengi wangechezeshwa kama mwanasesere na wadau wa huko nje ? Nadhani ungekuwepo enzi zile hata Mangungo ungemuita mtoto wa mjini ? (History will judge these people worse than the likes of Mangungo wa Msovero)
View attachment 3207298
Kizazi alichokiandaa Nyerere, amebaki jk tuAlikufa Nyerere tukasema hivyo. Atajitokeza mwingine.