Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kujiuzulu.......😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu kuwepo kwao ni hasara kwa nchi, mmojawapo ni huyu Waziri. Mipango yake ya hovyo imesababisha vifo vya watu wasio na hatia.Mchengerwa hizi damu zilizomwagika kwenye uchaguzi huu zinakulilia wewe na uzao wako kamwe hutabaki salama hasira ya Mungu iko juu yakichwa chako.
Huyu baada ya Hangaya kuondoka labda akimbie nchiUlitahadharishwa kutokea mapema juu ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kasoro zake tokea uandikishaji kama waziri mwenye dhamana ukadharau.
Ukashauriwa hiki na kile pia ukapuuza hadi uchaguzi kwa kiwango cha kutisha umeharibika na watu kadhaa wameripotiwa kuuwawa.
Ni upole tuu wa vyama vya upinzani na Watanzania na tabia yao ya "Kumwachia" Mungu kila jambo ndio yameponya taifa hili na kulipuka kwa ghasia. Je, huoni ulitaka kuipeleka nchi yetu pendwa kusikofaa?
Unastahili kabisa kushtakiwa kwa uhaini sasa, lakini kwa vile hayo uliyofanya yalikuwa kwa dhamira ya kukisaidia chama chako haiwezi kutokea leo, ila jinai Haiti kesho na kesho kutwa yaweza kufufuka na hakuna atakaye jua au kujali uhusiano wako na ex-president.
Ila una nafasi moja tuu ya kuzuia hilo kwa sasa, waombe radhi Watanzania kwa kuwaharibia mfumo wao wa kupata viongozi katika ngazi inayowagusa directly na wanaweza nalo hilo "Wakamuachia Mungu".
Kaisha sababisha uhai wa watu kupotea, serikali kutumia pesa nyingi na malengo ya umma kupata viongozi kutokamilika pia kuhatarisha usalama wa nchi.Haya mchengerwa akishajiuzulu hilo tatizo litakuwa limepatiwa ufumbuzi?hebu tupe wewe njia ya kulikomesha jambo hili lisitokee tena!
Umesema vyema kiongozi lakini kwa kipindi hiki naona kuna mambo mengi kama upinzani hususani Chadema hawapo siriasi sasa sina hakika na aina ya uongozi walio nao ngazi za chini imarisheni vyama yote haya yatakwisha!Kaisha sababisha uhai wa watu kupotea, serikali kutumia pesa nyingi na malengo ya umma kupata viongozi kutokamilika pia kuhatarisha usalama wa nchi.
Ashtakiwe kwa makosa haya makubwa ya uhaini ili wengine wasije kunajisi shughuli njema za serikali za kupata viongozi.
Lakini pia uchaguzi utangazwe kuwa ni Null and void.
Ni aibu kwa Rais Samia, serikali na raia wa TZ kwa pamoja mbele ya uso wa dunia.
Kuna wanaoyaona haya ni madogo mfano jamaa hapa juu Nas Mapesa lakini maamuzi na kiburi cha Mchengelwa yamesababisha damu za Watanzania zimemwagika, na hali hii ikiachwa izoeleke nini kitatokea 2025 uchaguzi mkuu? Lazima aazibiwe hata kama kuna cha mkwe au mjomba.Huyu baada ya Hangaya kuondoka labda akimbie nchi
Kama hawapo siriasi mbona chama tawala kinatumia dola kuchukua dola?Umesema vyema kiongozi lakini kwa kipindi hiki naona kuna mambo mengi kama upinzani hususani Chadema hawapo siriasi sasa sina hakika na aina ya uongozi walio nao ngazi za chini imarisheni vyama yote haya yatakwisha!
Je una uhakika TLP,UDP,CUF na CCM watu wao hawapotei hawafii hawatekwi ni Chadema tu ,una uhakika yatokeayo yana viashiria vya kisiasa Mr Chakaza usiriasi niuzungumzia mimi ni ile Chadema ya dr slaa ya hoja si ya matukio na kutafuta huruma ya wananchi,ucha wangu Mungu usiniweke kwenye ushahidi wa jambo nisilolithibitisha kwa kuliona wala kulisikia!Kama hawapo siriasi mbona chama tawala kinatumia dola kuchukua dola?
Kama ngazi za chini haziaminiki kwa nini wanawaua na wengine kama vijana/watoto wetu kama Soka nk wanawateka na kuwapoteza?
Mbona haya mambo hayatokei TLP, UDP, NCCR nk?
Kipara kama ni mcha Mungu na unasema ukweli, tuambie Chadema sio makini kweli? Chadema haiogopwi na watawala?
Hoja za Dr Slaa hazikuwa zake bali za Chama naye alikuwa muwasilishaji. Na zama zinatofautiana, enzi za JK zilikuwa za kujadiliana lakini awamu ya 5 na hii mnayoita ya 6 (ingawa ni ya 5) ni zama mpya za kutumia risasi, funga na fungua wapinzani, sifa za uongo na kuandaa machawa wa kusifia uongo kwa gharama ya wapiga kura.Je una uhakika TLP,UDP,CUF na CCM watu wao hawapotei hawafii hawatekwi ni Chadema tu ,una uhakika yatokeayo yana viashiria vya kisiasa Mr Chakaza usiriasi niuzungumzia mimi ni ile Chadema ya dr slaa ya hoja si ya matukio na kutafuta huruma ya wananchi,ucha wangu Mungu usiniweke kwenye ushahidi wa jambo nisilolithibitisha kwa kuliona wala kulisikia!
Mkaza mwanawaziri mwenye dhamana ya TAMISEMI amefanya kanzi kubwa, nzuri na yenye weledi wa kiwango cha juu mno.
Huyu ni miongoni mwa viongozi vijana wazalendo wa kiwango cha juu sana.
uchaguzi ulikua huru, ulikua wa haki na wa wazi sana. Wasimamizi waliandaliwa vizuri sana. Na utaratibu wa kupiga kura ulikua rahisi mno.
Waziri anastahili pongezi,
na ni muhimu sana akapewa maua yake bila chuki binafsi.
Ameandika historia katika taifa hili 🐒
Nanukuu: "....Lakini pia uchaguzi utangazwe kuwa ni Null and void"Kaisha sababisha uhai wa watu kupotea, serikali kutumia pesa nyingi na malengo ya umma kupata viongozi kutokamilika pia kuhatarisha usalama wa nchi.
Ashtakiwe kwa makosa haya makubwa ya uhaini ili wengine wasije kunajisi shughuli njema za serikali za kupata viongozi.
Lakini pia uchaguzi utangazwe kuwa ni Null and void.
Ni aibu kwa Rais Samia, serikali na raia wa TZ kwa pamoja mbele ya uso wa dunia.
Taratibu mkuu laana haziendi hivyo 👀😅Mchengerwa hizi damu zilizomwagika kwenye uchaguzi huu zinakulilia wewe na uzao wako kamwe hutabaki salama hasira ya Mungu iko juu yakichwa chako.
Nafikili ni uwoga sio upole mkuu mambo ya kupotezana nani anayatakaUlitahadharishwa kutokea mapema juu ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kasoro zake tokea uandikishaji kama waziri mwenye dhamana ukadharau.
Ukashauriwa hiki na kile pia ukapuuza hadi uchaguzi kwa kiwango cha kutisha umeharibika na watu kadhaa wameripotiwa kuuwawa.
Ni upole tuu wa vyama vya upinzani na Watanzania na tabia yao ya "Kumwachia" Mungu kila jambo ndio yameponya taifa hili na kulipuka kwa ghasia. Je, huoni ulitaka kuipeleka nchi yetu pendwa kusikofaa?
Unastahili kabisa kushtakiwa kwa uhaini sasa, lakini kwa vile hayo uliyofanya yalikuwa kwa dhamira ya kukisaidia chama chako haiwezi kutokea leo, ila jinai Haiti kesho na kesho kutwa yaweza kufufuka na hakuna atakaye jua au kujali uhusiano wako na ex-president.
Ila una nafasi moja tuu ya kuzuia hilo kwa sasa, waombe radhi Watanzania kwa kuwaharibia mfumo wao wa kupata viongozi katika ngazi inayowagusa directly na wanaweza nalo hilo "Wakamuachia Mungu".
Zinakwendaje mkuu hebu toa darasa kidogoTaratibu mkuu laana haziendi hivyo 👀😅
Kwanza tu kuwepo kwa Mkwe wa Rais ni bonge la Red Flag 😔 wengi hawafahamu msukumo ambao Mume wa Wanu anapitia kutoka kwa Mama Mkwe