Naelewa mkuu ila story yake imejaa chuki iliyo sababishwa na Upendo wa dhati alionao kwa huyo Mwanamke.Huyo bibie akikaza atarudiwa penzi la kweli halifi wala haliozi.Ametoa stori yake na kumuhusisha x wake waliopigana kibuti.Yeye akaoa ila bibie hajaolewa na anatamani aolewe.
Kama ni hivyo sijajua.Nimefuatilia stori yake zaidi.Naelewa mkuu ila story yake imejaa chuki iliyo sababishwa na Upendo wa dhati alionao kwa huyo Mwanamke.Huyo bibie akikaza atarudiwa penzi la kweli halifi wala haliozi.
Mtoa mada amesahau kwamba ndoa ni bahati na sio kila unayeanza nae safari ya mapenzi lazima mfike mwisho wa Safari.Kama ni hivyo sijajua.Nimefuatilia stori yake zaidi.
SnaaaWanawake wakiwa kwenye peak ya uzuri wao, wanakuwa wanaringa sana na wanajikuta wamekosa bahati.
Yule mmama Rita Paulsen wa kwenye bongo star search miaka ya nyuma kipindi bado anaita, walikutana na Billget kwenye mkutano flani, Billget akamsalimia kwa bashasha kweli madame Rita, Rita kamfunikia vioo anaona mzungu gani choka huyu, baadae anakuja kuambiwa huyo ndiye tajiri mwenyewe Billget, aisee alijiona mjinga sana.
Wanawake uzuri usiwachanganye mkafanya maamuzi si sahihi.
Akuongezee matembele?Chai
Mkuu ya kweli haya?Maana "mimi" nimezaliwa Novemba 1999 sina khabari!Wanawake wakiwa kwenye peak ya uzuri wao, wanakuwa wanaringa sana na wanajikuta wamekosa bahati.
Yule mmama Rita Paulsen wa kwenye bongo star search miaka ya nyuma kipindi bado anaita, walikutana na Billget kwenye mkutano flani, Billget akamsalimia kwa bashasha kweli madame Rita, Rita kamfunikia vioo anaona mzungu gani choka huyu, baadae anakuja kuambiwa huyo ndiye tajiri mwenyewe Billget, aisee alijiona mjinga sana.
Wanawake uzuri usiwachanganye mkafanya maamuzi si sahihi.
Nimecheka sanaLesbian and feminist Jadda atakuja na hapa kubisha
Wew umeishia lasaba C bila shaka😅😅Nani aliyekudanganya kwamba Mwanaume hawezi kuteseka,mfano mtoa mada bado anateseka na huyo Mwanamke bado ana mpenda.
Ogopa wanawake feminist mkuu kaa nao mbali kama ukomaNimecheka sana
Mwanaume kamili hawezi OWA Malaya hata iweje,anaweza gonga Malaya kila siku ila hawezi kumpenda na kumuoaNaelewa mkuu ila story yake imejaa chuki iliyo sababishwa na Upendo wa dhati alionao kwa huyo Mwanamke.Huyo bibie akikaza atarudiwa penzi la kweli halifi wala haliozi.
Ukweli mtupu kiongozi.Mkuu ya kweli haya?Maana "mimi" nimezaliwa Novemba 1999 sina khabari!
Anyway,haivutwi kwa kamba.Mola atamjaalia.Ukweli mtupu kiongozi.
Mi nilisikia ye mwenyewe anasema.