Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Naelewa mkuu ila story yake imejaa chuki iliyo sababishwa na Upendo wa dhati alionao kwa huyo Mwanamke.Huyo bibie akikaza atarudiwa penzi la kweli halifi wala haliozi.Ametoa stori yake na kumuhusisha x wake waliopigana kibuti.Yeye akaoa ila bibie hajaolewa na anatamani aolewe.