Kwa yaliyonitokea, naamini wanawake wakifikisha miaka 30 bila ndoa wanachanganyikiwa

😂😂😂
 
Unajaribu kuwananga wanawake ila hoja zinakikimbia kichwa chako .

Itoshe kusema hakuna kama mama hivyo nawapenda wanawake daima na milele
 
Alaa..!
🚮🚮
 
Kuna mmoja alikuwa anaringa akazalishwa sasa ananisumbua anataka nimuowe mke wa pili.
 
Kuna mmoja Nilikuwa nae mchaga mwenzio.

Nilikuwa namuelews sana ila alianza let'a mazoea.

Ananichukulia poa kana kwamba Sina option nyingine.

Sex mbovu kulala kama gogo hakuna ushirikiano.

Ananificha ficha Kwa watu nisionekane.

Nikaona hanijui huyu nikamwambia nasitissha Kila kitu kuanzia sasa sioni future yeyote hapa. Wacha apagawe. Lia pale ooh sijui umenichezea. Wala sikujali . It was my final decision maana nilikuwa na stress tupu.

Kila siku akawa anapiga na kutuma meseji 50 50 nilishafunga vioo Muda sana. Mimi nikisepa nimesepa sirudi nyuma.

Mwengine nae juzi kati hapa kanaletea mapenzi ya kifala na kitoto. Nikaona acha nisanuke haraka kabla mambo hayajawa mengi.

Muda huu sms zake zinaletea Giza tu. Full kulalama.

Wanawake huwa wanapataga akili wakishakosa
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…