Kwa yaliyonitokea, naamini wanawake wakifikisha miaka 30 bila ndoa wanachanganyikiwa

Mwaka 2018 nilimuelewaga binti enzi hizo yeye ana miaka 25 mimi nna miaka 30, na mda huo nlikuwa nishajipata kujenga tayari kazi nzuri nnayo na biashara zangu so kuowa haikunipa shida

Binti alikuwa ni pisi kali balaa hapa ndipo mjue wanawake wazuri kupindukia huwa hawataki ndoa ili wadange wakizeeka ndio wanaanza kulilia wnaume

Nikampeleka kwetu uchagani bwana wazee wakampokea wakampa na kanga kama zawadi ya kumpokea na kumkaribisha bomani kuwa wamemkubali kazi kwake

Ile tumemaliza tu kutambulishana kesho yake siku ya kurudi Dar akanirudishia ile kanga akasema itamletea mikosi kama nikimgeuka hataolewa tena, nikamwambia kama nikibadilika utaratibu unairudisha na maisha yanaendelea

Akaikataa akinivwagia pale niwarudishie wahusika daah alinikera vibaya sana, ikbidi ile kanga niifiche kwa aibu, tumefika airport alinikata upepo kabisa nikamwambia aondoke peke yake nikaenda kupanda kosta za usiku nikasepa maana hakukuwa na mabasi ya usiku enzi hizo

Nilipofika Dar tu nikamfungia mazima vioo hadi nikaja kupata mwanamke mwingine smart ambae nipo nae hadi leo, na tuna watoto

Hapa juzi bwana kanitafuta anasema ule ulikuwa utoto nimpe nafasi tena hata bila.mahari nikajitambulishe kwao nimchukue, hapo tayari ana miaka 31 uso ushaanza kuzeeka kipindi kile alivyokuwa kigoli alileta maringo

Nikamwambia sitaki wazee mimi tayari nna kigoli changu halali na tuna watoto wawili akatafute mzee mwenzake nikawambia kabisa umri wake akatafute zee la miaka 45 ndio size yake mda wake ushaisha

Aloo aliniblock whatsap hadi leo kapotea
😂😂😂
 
Unajaribu kuwananga wanawake ila hoja zinakikimbia kichwa chako .

Itoshe kusema hakuna kama mama hivyo nawapenda wanawake daima na milele
 
Mwaka 2018 nilimuelewaga binti enzi hizo yeye ana miaka 25 mimi nna miaka 30, na mda huo nlikuwa nishajipata kujenga tayari kazi nzuri nnayo na biashara zangu so kuowa haikunipa shida

Binti alikuwa ni pisi kali balaa hapa ndipo mjue wanawake wazuri kupindukia huwa hawataki ndoa ili wadange wakizeeka ndio wanaanza kulilia wnaume

Nikampeleka kwetu uchagani bwana wazee wakampokea wakampa na kanga kama zawadi ya kumpokea na kumkaribisha bomani kuwa wamemkubali kazi kwake

Ile tumemaliza tu kutambulishana kesho yake siku ya kurudi Dar akanirudishia ile kanga akasema itamletea mikosi kama nikimgeuka hataolewa tena, nikamwambia kama nikibadilika utaratibu unairudisha na maisha yanaendelea

Akaikataa akinivwagia pale niwarudishie wahusika daah alinikera vibaya sana, ikbidi ile kanga niifiche kwa aibu, tumefika airport alinikata upepo kabisa nikamwambia aondoke peke yake nikaenda kupanda kosta za usiku nikasepa maana hakukuwa na mabasi ya usiku enzi hizo

Nilipofika Dar tu nikamfungia mazima vioo hadi nikaja kupata mwanamke mwingine smart ambae nipo nae hadi leo, na tuna watoto

Hapa juzi bwana kanitafuta anasema ule ulikuwa utoto nimpe nafasi tena hata bila mahari nikajitambulishe kwao nimchukue, hapo tayari ana miaka 31 uso ushaanza kuzeeka kipindi kile alivyokuwa kigoli alileta maringo

Nikamwambia sitaki wazee mimi tayari nna kigoli changu halali na tuna watoto wawili akatafute mzee mwenzake nikawambia kabisa umri wake akatafute zee la miaka 45 ndio size yake mda wake ushaisha

Aloo aliniblock whatsap hadi leo kapotea
Alaa..!
🚮🚮
 
Kuna mmoja alikuwa anaringa akazalishwa sasa ananisumbua anataka nimuowe mke wa pili.
 
Kuna mmoja Nilikuwa nae mchaga mwenzio.

Nilikuwa namuelews sana ila alianza let'a mazoea.

Ananichukulia poa kana kwamba Sina option nyingine.

Sex mbovu kulala kama gogo hakuna ushirikiano.

Ananificha ficha Kwa watu nisionekane.

Nikaona hanijui huyu nikamwambia nasitissha Kila kitu kuanzia sasa sioni future yeyote hapa. Wacha apagawe. Lia pale ooh sijui umenichezea. Wala sikujali . It was my final decision maana nilikuwa na stress tupu.

Kila siku akawa anapiga na kutuma meseji 50 50 nilishafunga vioo Muda sana. Mimi nikisepa nimesepa sirudi nyuma.

Mwengine nae juzi kati hapa kanaletea mapenzi ya kifala na kitoto. Nikaona acha nisanuke haraka kabla mambo hayajawa mengi.

Muda huu sms zake zinaletea Giza tu. Full kulalama.

Wanawake huwa wanapataga akili wakishakosa
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom