PostGE2025 Kwa yaliyotokea 29 Okt. 2025, ipo haja ya kuchunguza Kifo cha Pombe Magufuli

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam Wakuu,

Kwa roho iliyooneshwa 29 Oct 2025 na Samia Suluhu Hassan, Mwenyeji wa huko Zanzibar ambaye anapenda kutembelea maeneo ya Tunguu.. Hakika damu ya Watanzania ipo mikononi mwake.

Bado naamini Pamoja na Misimamo ya Magufuli, kingine kilichomponza ni Utanganyika wake.

Zanzibar walijua hawatokaa watawale Tanganyika tena.

Pia wahuni walijua wakimuweka huyu Madarakani, watakuwa huru kujipiigia mali za Nchi bila kuulizwa..

Nasikia kuna Waziri kamjengea bonge la Mjengo huko Zanzibar kama zawadi ya kumuamini Wizara ya fedha.. Ndo maana hata watu walipomtuhumu kufanya biashara ya Mabasi na Vituo cha mafuta alikana na hakuna alothubutu kuchunguza. Pia alitoa Mabilioni kudhamini Kampeni za Samia.

Huyu Mama alivyo mjinga, hata hahoji hayo mabilioni kayatoa wapi.

Endepo kifo cha Pombe Magufuli kitachunguzwa, nawahakikishia, Samia, Rais mstaafu, lazima wahukumiwe kunyongwa.

Samia 29 Oct 2025, alidhamiria kuangamiza Kizazi kiinachojitambua na kudai haki cha Tanganyika ila bado alishindwa

Tunashinikize Uchunguzi wa kifo cha Magufuli ukifanyika, Samia Suluhu atanyongwa hadharani uwanja wa Mkapa.

Kuna Mbunge alisema, kwa katiba tuliyonayo, Makamu wa Rais anaweza kumuua Rais ili atawale.

Screenshot_20260427_132743_Instagram.jpg
Hayati john Pombe Magufuli
 
Mbona waLIKUWA HAWATAKI KUMPA.
Mpaka wanajeshi wameingilia kati ndio akapewa uraisi.
Yeye alikuwa hajuwi kitu.
Kuna watu walikuwa tayari washapanga Raisi wawo.
Lakini alivyo kuwa muungwana hakugombana nawo.
 
Achana na Story za Vijiweni
 
Mbona waLIKUWA HAWATAKI KUMPA.
Mpaka wanajeshi wameingilia kati ndio akapewa uraisi.
Yeye alikuwa hajuwi kitu.
Kuna watu walikuwa tayari washapanga Raisi wawo.
Lakini alivyo kuwa muungwana hakugombana nawo.
Safi
 
Back
Top Bottom