Mpwimbe
JF-Expert Member
- Oct 13, 2023
- 455
- 818
Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani.
Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko.
Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani.
Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika, Gongolamboto, Morogoro, Bunju, Boko, Mbweni, Rufiji, etc
Usafiri wa Dar es Salaam kila mtu anajua ulivyo shurti.
Lakini mambo Jana yasiyo na maana yalizidi kiasi cha kufanya jambo muhimu kufeli aisee.
Yanga Sasa hivi inapambania kupata mashabiki mpaka nje ya nchi, lakini kwenye publicity na uendeshaji wa matukio IKO SIFURI kabisa. Imekabidhiwa kwa msemaji very local and primitive ambaye akili yake inawaza mwisho Manzese tu na siye na busara hata chembe Wala akili.
Ni ukweli kuwa timu kwasasa inafanya vizuri na Ina maslahi, imegeuka Sasa kila mtu anataka kupata maslahi kwenye club na uongozi umeshindwa kudhibiti kabisa.
Daah,
Inasikitisha sana