G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,254
- 2,519
Wasaalam.
Ni declee interest na mimi ni Mtumishi wa Umma.
Hili swala linaloendelea Arusha likiratibiwa na RC wa Arusha ni uthibitisho tosha sisi watumishi wa umma wengi wetu tuko Incompetent, Wazembe na Uadilifu uko chini.
Pamoja na wengi wanasema haya ni maigizo ya RC lakini emu chukua muda wako mchache usikilize maswali madogo na mepesi wanayoulizwa wahusika wa Idara/Kitengo jinsi wanavyojibu kimagamu magamu.
Japo na mimi sipendezwi na baadhi ya maneno ya Dhihaka na Mikwara toka kwa RC, lakini nikijikita kutafakari Maelezo na majibu wanayotoa watumishi wenzangu yanasikitisha sanaa nikijiweka kwenye viatu vya Raia wa kawaida.
Haya yanawezakua matokeo ya watu kupata kazi kwa Nepotism, Rushwa au Uzembe wa mtumishi binafsi kujiendeleza kimaarifa.
Pasipo kujali Personalities za RC, Je, sisi watumishi tunaji Evaluate vipi kabla hatujaaibishwa kwenye maCamera kama hivi?
Ndomana wakina Mbunge Msukuma na Kishimba wanatuponda Wasomi kwa mambo kama haya.