Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Kabla ya demokrasia na chaguzi za marais watu walikuwa wanaishije? Kwanzia mwanzo wa uimbaji hadi mwisho wa utawala wa Roma? Kulikua na chaguzi? Watu hawakuishi?Tatizo siasa ni maisha ya kila mtu, ushabikie usishabikie siasa itaendelea kuwa maisha ya mwananchi.
Ccm na vyombo vyake wanajua udhaifu wa washindani wao. Kadhalika hawako tayari kuachia madaraka kwa njia ya kura. Labda njia ile nyingine wasioipenda watu . Pia vyombo vya dola na vya maamuzi havijawahi kutenganishwa .
Tatizo Tanzania ilipokea mfumo wa vyama vingi ki nafiki. Walibadili baadhi ya sheria za uchaguzi kuruhusu mfumo wa vyama vingi, lakini katiba ikabaki sehemu kubwa ktk mfumo wa chama kimoja kushika hatamu.Kabla ya demokrasia na chaguzi za marais watu walikuwa wanaishije? Kwanzia mwanzo wa uimbaji hadi mwisho wa utawala wa Roma? Kulikua na chaguzi? Watu hawakuishi?
Basi ndugu yangu kama walijua hilo #katiba ni ile ile mambo ni yaleyale badi tuyapishe kwanza afu siku yakirekebishwa ndio mfumo uanze wa vyama vingiTatizo Tanzania ilipokea mfumo wa vyama vingi ki nafiki. Walibadili baadhi ya sheria za uchaguzi kuruhusu mfumo wa vyama vingi, lakini katiba ikabaki sehemu kubwa ktk mfumo wa chama kimoja kushika hatamu.
Na walipogundua hilo walihiari pesa za mabadiliko ya katiba zipotee bure. Mradi wasiwe sawa mbele ya vyombo na vyama vingine.
Angalia Ghana iliyorekebisha katiba kuendana na mfumo huo kama kuna fujo za hovyo, hasa kwa wapinzani !!. Sisi bado tuko ki communist zaidi
Ukijitoa, nani atarekebisha hali kama si wewe na mimi ?!. Viongozi wengi hasa wa Africa hukubali kukaa mezani kwa shinikizo si kwa hekima. Trump angelikuwa Africa angelifia madarakani kwa hulka yake. Lakini wenzetu taasisi zina nguvu kuliko viongozi. Africa viongozi wana nguvu kuliko taasisi.Basi ndugu yangu kama walijua hilo #katiba ni ile ile mambo ni yaleyale badi tuyapishe kwanza afu siku yakirekebishwa ndio mfumo uanze wa vyama vingi
Utatumia njia gani kuhakikisha mawazo yako yanakubalika? Au taasisi inakua kubwa kuliko kiongozi?Ukijitoa, nani atarekebisha hali kama si wewe na mimi ?!. Viongozi wengi hasa wa Africa hukubali kukaa mezani kwa shinikizo si kwa hekima. Trump angelikuwa Africa angelifia madarakani kwa hulka yake. Lakini wenzetu taasisi zina nguvu kuliko viongozi. Africa viongozi wana nguvu kuliko taasisi.
Kabla ya demokrasia na chaguzi za marais watu walikuwa wanaishije? Kwanzia mwanzo wa uimbaji hadi mwisho wa utawala wa Roma? Kulikua na chaguzi? Watu hawakuishi?
Nasema uongo ndugu zangu?