Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Pascal Mayalla aliwahi kuleta uzi humu kwamba CHADEMA kuna kirusi kinawatafuna na kipo ndani kabisa kwenye chombo chao cha maamuzi.
Ukiangalia haya yanayotokea hapo chadema kwa Mbowe kung'ang'ania madarakani ukijumlisha na suala la Abdul kuambatana na kiongozi mkubwa ndani ya chadema kupeleka fuko la hela kwa Lisu unaona kabisa Mbowe si tu kwamba anatumika na ccm ila pia anaweza kununuliwa muda wowote.
Tuliambiwa sain za kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee kuwa wabunge wa viti maalumu ilifojiwa. Lakini kwa haya yanayoendelea pale chadema Naamini ile barua haikufojiwa bali ili toka kwa kiongozi mkubwa probably Mbowe kwa maslahi yake.