Umeelewa mada?
..inawezekana hata hawakujisumbua kupata saini ya kiongozi yeyote.
..nasema hivyo kwasababu saini bila KIKAO haina maana yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa mada?
Mnyika na Mbowe walihusika kwa asilimia 100, hakuna saini iliyokuwa forged, baraka za Mbowe zilitolewa.N
Nami naunga MKONO HOJA tena nahisi aliyesaini na kuandaa hizo minutes za kikao kwa niaba ya CC ni huyo cha Ujanja Kigaila..nadhani Lissu ameamua kufunua kapeti yenye UOZO na inaonekana amejipanga...amewatupia hili kombola la ABDUL ngoja wahangaike nalo,kabla hajatupa jingine ..WATAIBIKAMke wa Naibu Katibu Mkuu bara Kamanda Benson Kigaila ni mmoja wa wabunge wa Covid 19.
Mzazi mwenza na demu wa muda wote wa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ambaye ni Esther Matiko ni mbunge wa Covid 19.
Kisha utasema eti kuna uwajibikaji hapo. Hao Viongozi wa Chadema ambao wake zao walisaliti Chadema walipaswa kujiudhuru kuonyesha uwajibikaji. Ila ndio kwanza wanakula nao posho za Ubunge.
Mbowe rangi yake halisi inazidi bainika...Msigwa alichokosea ni kuhamia kwa miCCM ila ukimsikiliza kwa umakini hoja zake(baadhi) zina mashikoKama Mbowe ataendelea kuwa chairman basi upinzani utakufa kifo cha samaki
Selfish and low thinking altogetherTuacheni unafiki, ni nani angeikataa pesa kwa malipo ya kuanguka Saini na kugonga muhuri tu?? Binafsi ningeichukua vinginevyo hujui duniani umekuja kwaajili ya nini.
Natamani siku Moja watoto wako wapokee Hela mahala alafu wakuuze. Na kwa ufahamu wako nadhani utawashukuru na kuwasifu, maana wanajua kilichowaleta Duniani.Selfish and low thinking altogether
Mkuu Krime, Crimea , hiiPascal Mayalla aliwahi kuleta uzi humu kwamba CHADEMA kuna kirusi kinawatafuna na kipo ndani kabisa kwenye chombo chao cha maamuzi.
Hili niliuliza humu Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?Tuliambiwa sain za kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee kuwa wabunge wa viti maalumu ilifojiwa. Lakini kwa haya yanayoendelea pale chadema Naamini ile barua haikufojiwa bali ili toka kwa kiongozi mkubwa probably Mbowe kwa maslahi yake.
Chadema ni wasahaulifu sana!Mkuu Krime, Crimea , hii
ndio naiona leo CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind? Na CHADEMA kuna kirusi! Je, unajua kirusi hiki ni nani?! Na the motive behind?
Hili niliuliza humu Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
P
Kuna mtu kauliza, kwanini hakwenda kushitaki forgery?..hakuna KIKAO kilichowapitisha, ndio maana wakafukuzwa.
..kugushi ni pamoja na kuidhinisha jambo ambalo ni kinyume na sheria au taratibu.
..kwa hiyo kama kuna kiongozi alisaini covid19 waende bungeni basi aligushi kwasababu alifanya hivyo bila kuelekezwa na kikao halali.
Ona hii kelebMbowe hajang'ang'ania madaraka
Kang'ang'ania ndio maana alitumia ushawishi wake kuondoa ukomo wa madaraka, ambapo viongozi wengi walio mchallage CDM kwenye suala la uwenyekiti waliishia kufukuzwa au Dola kuwaondoa Ili kumlindia kiti chake TISS mkuu wa upinzani.Mbowe hajang'ang'ania madaraka
Pascal Mayalla aliwahi kuleta uzi humu kwamba CHADEMA kuna kirusi kinawatafuna na kipo ndani kabisa kwenye chombo chao cha maamuzi.
Ukiangalia haya yanayotokea hapo chadema kwa Mbowe kung'ang'ania madarakani ukijumlisha na suala la Abdul kuambatana na kiongozi mkubwa ndani ya chadema kupeleka fuko la hela kwa Lisu unaona kabisa Mbowe si tu kwamba anatumika na ccm ila pia anaweza kununuliwa muda wowote.
Tuliambiwa sain za kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee kuwa wabunge wa viti maalumu ilifojiwa. Lakini kwa haya yanayoendelea pale chadema Naamini ile barua haikufojiwa bali ili toka kwa kiongozi mkubwa probably Mbowe kwa maslahi yake.
Unayosema yana mashiko.Mnyika na Mbowe walihusika kwa asilimia 100, hakuna saini iliyokuwa forged, baraka za Mbowe zilitolewa.
Bosi tulia basi kwanza, unaonekana una hoja nzuri lakini umekosa utulivu kwenye kuandika. Binafsi sijapata muunganiko wenye kuleta maana kwa namna ulivyowasilisha maoni yako.kwahiyo kwa ujumla yote hayo,
ni kwamba nyote mna nimani haba, lakini pia hamuaniani kabisa? right?
Jibu ni moja tu, Amini Mungu 🐒
🐒
Legeza mindset yako gentleman, ni rahisi mno kuelewa jambo hili 🐒Bosi tulia basi kwanza, unaonekana una hoja nzuri lakini umekosa utulivu kwenye kuandika. Binafsi sijapata muunganiko wenye kuleta maana kwa namna ulivyowasilisha maoni yako.
Kwa kweli sasa tushajua chair aliwazunguka wenzake.🤣🤣🤣🤣Pascal Mayalla aliwahi kuleta uzi humu kwamba CHADEMA kuna kirusi kinawatafuna na kipo ndani kabisa kwenye chombo chao cha maamuzi.
Ukiangalia haya yanayotokea hapo chadema kwa Mbowe kung'ang'ania madarakani ukijumlisha na suala la Abdul kuambatana na kiongozi mkubwa ndani ya chadema kupeleka fuko la hela kwa Lisu unaona kabisa Mbowe si tu kwamba anatumika na ccm ila pia anaweza kununuliwa muda wowote.
Tuliambiwa sain za kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee kuwa wabunge wa viti maalumu ilifojiwa. Lakini kwa haya yanayoendelea pale chadema Naamini ile barua haikufojiwa bali ili toka kwa kiongozi mkubwa probably Mbowe kwa maslahi yake.
Hakuna aliyeenda shitaki mahakamani kwamba saini zimefojiwa, mahakamani ilienda kesi ya uanachama wa covid 19 na sio kesi ya jinai ya kufoji.Unayosema yana mashiko.
Kama sahihi zao zilighushiwa, tungeliona wanauza sura kwenye viunga vya mahakama kwenda kushitaki, lakini kimyaaaa, mpaka kesho!