Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Nyerere aliwahi kuulizwa "kwanini umekubali kuanza kwa mfumo wa vyama vingi wakati tafiti zinaonyesha watu wengi walitaka mfumo wa chama kimoja uendelee?
Jibu lake lilikuwa la kisomi na kifalsafa. Kwa utulivu mkubwa kabisa alisema;
"wakati mwingine hutakiwi kusubiri wanaokataa kitu wawe wengi zaidi kuliko wanaokubali"
Ukitafsiri hayo maneno yana akili kubwa sana ndani yake. Kuna wakati unatakiwa uwape watu jukwaa la kupumua ili mambo mengine yaendelee
Kinachoendelea sasa CCM kilitengenezwa pale walipoamua wao wenyewe kwa kujua au kutokujua "kuzuia fursa za watu kutoka vyama vingine kuingia bungeni"
Wanasiasa wengi walikimbilia huko na waliokuwa huko wanasita kutoka kwasababu wanajua huku kwingine kulivyokugumu na wote lengo lao ni moja tu, wapate kushibisha matumbo yao, unafikiri kipi kitatokea?