Pre GE2025 Kwa yanayoendelea maana yake "CCM" imegawanyika vipande vipande na wana hali mbaya kushinda hata CHADEMA waliokuwa wanadaiwa wamevurugana kisa Msigwa

Pre GE2025 Kwa yanayoendelea maana yake "CCM" imegawanyika vipande vipande na wana hali mbaya kushinda hata CHADEMA waliokuwa wanadaiwa wamevurugana kisa Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nyerere aliwahi kuulizwa "kwanini umekubali kuanza kwa mfumo wa vyama vingi wakati tafiti zinaonyesha watu wengi walitaka mfumo wa chama kimoja uendelee?

Jibu lake lilikuwa la kisomi na kifalsafa. Kwa utulivu mkubwa kabisa alisema;

"wakati mwingine hutakiwi kusubiri wanaokataa kitu wawe wengi zaidi kuliko wanaokubali"

Ukitafsiri hayo maneno yana akili kubwa sana ndani yake. Kuna wakati unatakiwa uwape watu jukwaa la kupumua ili mambo mengine yaendelee

Kinachoendelea sasa CCM kilitengenezwa pale walipoamua wao wenyewe kwa kujua au kutokujua "kuzuia fursa za watu kutoka vyama vingine kuingia bungeni"

Wanasiasa wengi walikimbilia huko na waliokuwa huko wanasita kutoka kwasababu wanajua huku kwingine kulivyokugumu na wote lengo lao ni moja tu, wapate kushibisha matumbo yao, unafikiri kipi kitatokea?
 
Yule Msomali kajiuzulu bhana tusisikilize redio za mbao mkuu...asifukuzwe yule muhuni wa Mtama waje wamfukuze katibu wa Chama toka enzi za watawala wa miaka ya nyuma...hakuna wa kumfukuza huyo kwenye hicho chama chao...
Kabisa
Haiingii akilini
 
Kosa kubwa na litaendelea kumgharimu Hangaya ni kutotengeneza team.mpya ya watu wapya yaani out of 62 millions tzs angeteua watu wapya sio kurithi watu wa magufuli, wa jakaya na wazee wengine wa mipango.

Mungu ambariki hata 2025 election apate team mpya ya wabunge, spika, na wengineo
 
Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa.

Hali ya kugawanyika ni kubwa mno na kwa kuangalia Upepo wao hawa jamaa wa kijani wanaweza hata kuanza kumalizana wao kwa wao kitu ambacho ni kibaya zaidi.

Huu ni Mtazamo wangu wa Mambo
Ni aibu ndani ya miezi 9 Katibu Mkuu, Makamu na Wenezi wawili kuondolewa kwa chama tawala
 
Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa.

Hali ya kugawanyika ni kubwa mno na kwa kuangalia Upepo wao hawa jamaa wa kijani wanaweza hata kuanza kumalizana wao kwa wao kitu ambacho ni kibaya zaidi.

Huu ni Mtazamo wangu wa Mambo
Wacha yauane tu hayana faida yoyote
 
huyo akili kisoda hajajiuzulu, alifukuzwa ila kwa kumuondolea aibu kaambiwa aandike barua ya kujiuzulu
Kikao gani cha CCM kilikaa na kumjadili Kinana hadi maamuzi ya kufukuzwa yakafikiwa?! Kikao kilikaa chumbani kwako? Shen.zi
 
Kwa hiyo ni mtazamo wako kwamba hali ni mbaya ccm?
 
Kikao gani cha CCM kilikaa na kumjadili Kinana hadi maamuzi ya kufukuzwa yakafikiwa?! Kikao kilikaa chumbani kwako? Shen.zi
unamtetea jangili, huyo umbwaa tunamrudisha somalia, makamu mwenyekiti anachaguliwa au anateuliwa?
 
1. CCM ilishavurugika kitambo, kinachowasaidiaga ni dola kuzima move yoyote ile in time.
2. Msingwa, aka yule Pasta feki hawezi kuifanya chochote CDM yaani ni sawa na Umbwa mzee asiye na meno.
Chadema sio chama ni kikundi ya watu wachache wa familia ya Mtei na mbowe
 
huyo akili kisoda hajajiuzulu, alifukuzwa ila kwa kumuondolea aibu kaambiwa aandike barua ya kujiuzulu
Kama unayo sema hapa ni kweli, basi uhalali wa mada hii unakuwa sahihi zaidi kuliko hata alivyo eleza mleta mada mwenyewe aliyeshindwa kueleza chochote kinacho eleweka.

Ukimwita Kinana "akili kisoda", wewe mwenyewe sijui uitwe nani, 'jellyfish'? Ndiye kiumbe mwenye ubongo kidogo zaidi.
 
Mkuu huyo ni akili kisoda, ni ccm tu imembeba, lile bicha halina ktu.

halafu tofautisha akili na ubongo
 
Ni kweli CCM Hali sio nzuri sana mpaka Kinana anaomba kustaafu sio Jambo dogo.

Kuhusu Msigwa, niseme kasahulika mapema Sana. Mpaka ifike 2025 CCM watamchoka na kumuweka pembeni.
Msigwa alishindwa kusoma alama za nyakati, siasa za 2015-2020 zimebadilika sana
 
Back
Top Bottom