Mama amefeli kabisaMkuu, kila mtu ale kulingana na UREFU wa kamba yake, saizi viongozi wamegawa kamba zao, nchi haina tena mamlaka ya juu
Una roho ngumu sana. Mpaka leo ulikuwa bado una imani?Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.
Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.
Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.
Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?
KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.
Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.
Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.
Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.
Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.
Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.
Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.
Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?
KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.
Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.
Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.
Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.
Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Ndio kusema wanasiasa wanaizid nguvu idara?Idara haina shida ndo maana upo salama. Wanasiasa ndo wanashida.
Unawezaje kuidhinishiwa kulipia hata kichwa dusko cha Treni bila wino wa rais?.... .Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.
Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Nimeshamgazwa mno kusikia taarifa kama hizi.Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.
Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.
Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.
Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?
KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.
Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.
Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.
Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.
Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
KumaanishaNgoja nitakuja kuandika hapa hoja nzito mpaka mbakie mnabubujikwa na machozi ya furaha.
Kwani huo mradi wa Sgr ni wa Kadogosa?kwamba unahisi mahamuzi yote ni kwa amri yake au?!Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.
Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.
Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.
Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?
KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.
Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.
Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.
Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.
Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Du ni hatari, tuchunge ndimi zetundo madhara ya kuwa na Rais anae ingiliwa kimwili
NI aibu hata kujitambumbulisha kwamba wewe ni Mtanzania.Sema tu idara ni corrupt ndio maana wanasiasa wanajipenyeza na kufanya watakavyo
Idara ingekuwa na 70% angalau watu waadilifu tungekuwa mbali Kama Taifa
Ila kwa sasa tupo kwenye corrupt system state!! Ndio maana unaona haya unayoyaona
Ili tuendelee tunahitaji sheria kali kama za China Japan South Korea na Nchi kama hizo !Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.
Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.
Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.
Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?
KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.
Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.
Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.
Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.
Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Wachina na majirani zao hawakuwa wajinga kutunga Sheria kali za uhujumu Uchumi !Asante sana umeusoma mpango mzima. Walituambia kuwa bwawa la Nyerere ndio suluhiso la kuwa na umeme usio katika. Zimemmwagika hela za kutisha pale. Ghafla tena umeme hakuna tununue vichwa vya diseli. Kuna ujinga unaendelea mkubwa sana.
Tatizo ni kama budgets zinapwaya kwenye kuutwa ukuu lazima tule majani Ili wenzetu wapate haja ya mioyo Yao...Ningekuwa Mimi ningerejesha utawala wakifalme, hizi chaguzi za kisanii Mungu mwenyewe anaona!Nimeshamgazwa mno kusikia taarifa kama hizi.
Hii nchi itapiga mark time sana iwapo tuna viongozi wenye mtizamo kama huo.
Ukiona hivyo tayari akina Rosti Tamu wameshachukua zabuni na hata ukipiga kelele vipi hakuna kitakachobadilika.
Sidhani kama usalama wa Taifa wanajihusisha na mambo ya uhujumu uchumi unaofanywa kwenye ngazi za juu.
Du!... Nikadhani tusi jipya! 😂🤣Kumaanisha