Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.

Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.

Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.

Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?

KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.

Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.

Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.

Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.

Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.

Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Una roho ngumu sana. Mpaka leo ulikuwa bado una imani?
 
Asante sana umeusoma mpango mzima. Walituambia kuwa bwawa la Nyerere ndio suluhiso la kuwa na umeme usio katika. Zimemmwagika hela za kutisha pale. Ghafla tena umeme hakuna tununue vichwa vya diseli. Kuna ujinga unaendelea mkubwa sana.
 
.... .Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.

Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Unawezaje kuidhinishiwa kulipia hata kichwa dusko cha Treni bila wino wa rais?

Mnadhani mama anavyoshukuriwa kuwa katoa hela inakuwaje? Ana mwaga wino
 
Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.

Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.

Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.

Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?

KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.

Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.

Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.

Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.

Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.

Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Nimeshamgazwa mno kusikia taarifa kama hizi.
Hii nchi itapiga mark time sana iwapo tuna viongozi wenye mtizamo kama huo.
Ukiona hivyo tayari akina Rosti Tamu wameshachukua zabuni na hata ukipiga kelele vipi hakuna kitakachobadilika.
Sidhani kama usalama wa Taifa wanajihusisha na mambo ya uhujumu uchumi unaofanywa kwenye ngazi za juu.
 
Kwani huo mradi wa Sgr ni wa Kadogosa?kwamba unahisi mahamuzi yote ni kwa amri yake au?!
 
Sema tu idara ni corrupt ndio maana wanasiasa wanajipenyeza na kufanya watakavyo

Idara ingekuwa na 70% angalau watu waadilifu tungekuwa mbali Kama Taifa

Ila kwa sasa tupo kwenye corrupt system state!! Ndio maana unaona haya unayoyaona
 
NI aibu hata kujitambumbulisha kwamba wewe ni Mtanzania.
 
Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.

Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.

Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.

Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?

KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.

Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.

Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.

Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.

Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.

Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Ili tuendelee tunahitaji sheria kali kama za China Japan South Korea na Nchi kama hizo !
 
Asante sana umeusoma mpango mzima. Walituambia kuwa bwawa la Nyerere ndio suluhiso la kuwa na umeme usio katika. Zimemmwagika hela za kutisha pale. Ghafla tena umeme hakuna tununue vichwa vya diseli. Kuna ujinga unaendelea mkubwa sana.
Wachina na majirani zao hawakuwa wajinga kutunga Sheria kali za uhujumu Uchumi !
Demokrasia za Wazungu kwetu sisi hazitufai !
Wametuletea ili tuzidi kudidimia na wao wazidi kuneemeka na Utajiri wa mali ghafi za Nchi zetu !!
 
Nimeshamgazwa mno kusikia taarifa kama hizi.
Hii nchi itapiga mark time sana iwapo tuna viongozi wenye mtizamo kama huo.
Ukiona hivyo tayari akina Rosti Tamu wameshachukua zabuni na hata ukipiga kelele vipi hakuna kitakachobadilika.
Sidhani kama usalama wa Taifa wanajihusisha na mambo ya uhujumu uchumi unaofanywa kwenye ngazi za juu.
Tatizo ni kama budgets zinapwaya kwenye kuutwa ukuu lazima tule majani Ili wenzetu wapate haja ya mioyo Yao...Ningekuwa Mimi ningerejesha utawala wakifalme, hizi chaguzi za kisanii Mungu mwenyewe anaona!
 
Back
Top Bottom