ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Umasikini wa kutupa ndio maana hata malezi yanakuwa ni shida !Mnatengeneza wenyewe kwani mtoto akianza kuiba kalamu shule na mwalimu kula lunch ya watoto hapo ndio mnatengeneza taifa bovu
Huyo mtoto anaeiba kalamu ndio atakuja kuwa mwenyekiti na hata Waziri
Mnatengeneza wenyewe huo mfumo toka nyumbani
Amkeni na muwalee watoto kwa nidhamu ya hali ya juu na maadili mema badala ya kulea wapenda kamari na ngono,majizi na wala rushwa
Watoto wanalelewa na majirani au na wadada wa Kazi !
Baba na Mama wako kwenye mishemishe ili mkono uende kinywani !
Hapo utamlaumu nani ??!
Kwa Wazungu zipo pesa maalum za kulelea watoto wanapewa Mama zao wawalee vizuri !
Unaona tofauti yetu ??!