Kwa yanayoendelea ni wazi kuwa kuna watu wanamhujumu Rais Samia. Hatua za haraka zichukuliwe kuwadhibiti

Hakuna anamhujum anajihujum mwenyewe, we kila siku upo angani , mda wa kukaa na kutuliza akili na mwili na kuona namna ya kutatua matatizo ya watu wako unautoa wapi
 
Hii style ya umeme wa TANESCO ndo sijawah kuiona tokea Tanzania iumbwe

Unakuta umeme unawaka nyumba ya jirani halaf kwako hamna na nguzo mnatumia moja na nyumba zimepakana ukuta
 
Hii style ya umeme wa TANESCO ndo sijawah kuiona tokea Tanzania iumbwe

Unakuta umeme unawaka nyumba ya jirani halaf kwako hamna na nguzo mnatumia moja na nyumba zimepakana ukuta
Ukiona hivyo ujue umeme ni mdogo, kuna mita zinaruhusu umeme mdogo kupita na zingine hazuruhusu hadi uwe standard.
 
Kama kashindwa kuwadhibiti sasa hivi, atagombea Ili akafanye nini ikulu? Ikulu ni mzigo kwa mtu mzalendo.
 
Rais wetu haijui nchi hii na wala hatambui nafasi yake.Hilo ndio tatizo kubwa linalotesa Taifa kwa sasa.Na wanaoyumbisha Taifa wameshajua kwamba Rais anajisifia kukaa kimya kwamba ni sifa sasa wanapita kwenye ukimya wake na kuendelea kumsifia kwa kukaa kimya kama aliyojichagulia huku akisahau kuwa wachache wanaendelea kujinufaisha na kutesa Taifa lenye mamilioni ya watu.Kuendelea kukaa kimya kunawasaidia watu wengi zaidi kuamini kwamba nchi haina Raisi kama angekuwepo angewasemea watanzania tena kwa nguvu zake zote.
 
Sema hiviii,Twawala wanajihujumu wenyewe🤓
 
Sema hiviii,Chama Twawala, wanajihujumu wenyewe🤓
 
Sema hiviii,Chama Twawala, wanajihujumu wenyewe🤓
 
Nakubalina na wewe kwenye jina hata kama ni typo😀

Kuna post nimei quote lakini naona mods wameifuta ndo maana imebakia kama comment ya kawaida.

Ngoja niache kwanza ku post maana naona kuna moderators ni wenye kuhakikisha wana protect status quo.
Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…