Kwa yanayoendelea ni wazi kuwa kuna watu wanamhujumu Rais Samia. Hatua za haraka zichukuliwe kuwadhibiti

Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Hadi Bando? Hakika hii ni Nchi ya malalamiko 😁😁

Hatua zimechukuliwa,Kuna mtu kalizwa kichwa huko Tanesco.

Pia Tanesco wametangaza kwamba siku yeyote kutoka Leo mgao utakoma.

Kuhusu Sukari Serikali Imetoa maelekezo kwamba wafanyabiashara waamua kuacha kuuza sukari au wauze Kwa bei iliyopo Ili Serikali ianze utaratibu Mpya.
 
Wewe K huwa unakera kinyama. Unafanya CCM ionekane ina watu wajinga
 
Msitupie watu mizigo, akishindwa msilaumu kundi lingine. Ameshindwa ndio maana tupo hapa, she's failed.
 
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Kama umependa uongozi wake, usilalamike.
Maana ndio uongozi wake unayafanya hayo yote uliyoyaandika.
Utetezi wa kusema anahujumiwa ulikuwa zamani kwa sasa hauna nafasi.
 
Vipi mkuu na wewe unalalamika?.kwani skiku hizi haupigi mwingi???
Si maandamano ya CHADEMA hayana tija wananchi wameyapuza ??? Mbona nawe waja na changamoto zulezile za chadema?
Wacha waisome namba eeeeeeee. Ccm mbele kwa mbeleeeeeee.
 
Kama umependa uongozi wake, usilalamike.
Maana ndio uongozi wake unayafanya hayo yote uliyoyaandika.
Utetezi wa kusema anahujumiwa ulikuwa zamani kwa sasa hauna nafasi.
Hata Magufuli walisema anahujumiwa
 
Una utapiamlo wa akili, hujitambui wallah, unachotetea nini wakati bimkubwa nchi imemshinda? Huwezi kusema anahujumiwa wakati hata capacity yake tu ndogo.
Ingemshinda wewe nyumbu ungeoata fursa ya kuandamana kwa.kulindwa na Polisi?

Nchi ingemshinda wewe ungekuwa jnaingizwa dole mda huu
 
Umekosa hoja unaanza kuingizana violence mkuu? Endelea kutetea buku7 yako.
 
Anahujumiwa kwani yeye yupo wapi, na kuwa kiongozi maana yake nini!
 
Hakuna hujuma,ni mfumo tu wa wana ccm na waendeshaji wanaoutumia sahivi

Ova
 
Back
Top Bottom