Kwa yanayoendelea, picha inaongea

Hii generalization uliyofanya hapa ukimanisha nini??

"Tatizo ni kuamini kwamba watanzania wote wana mtazamo mmoja kuhusu kuhusiana na hili jambo."
Nimefanya generalization ipi hapo? Inaonyesha mkuu hata hukuelewa nilichoandika ila ukafanya haraka....
 
Kama wanavishwa Tshirt, kofia na suruali vitenge na vilemba kila baada ya miaka mitano unategemea watajitambua kweli?
Tatizo ni kwamba wanaojitambua wanataka kuwa wao ni watizamaji tu kama mashabiki halafu wanataka wale wasiojitambua ndio wachukue hatua kivitendo wanasahau kwamba wale hawajitambui.
 
Aisee hii dunia ni kama tunarudi nyuma.
Yaani kupost tu unaogopa je, wale Wazimbabwe na wale wa MSUMBIJI waluopigania uhuru wao kwa damu wangekuwa waoga si mpaka leo wangekuwa wanatawaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…