Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha.
Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi.
Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa wamefika sehemu hawana mtetezi. Wamekuwa wanyonge na tegemeo pekee walilo nalo ni Jeshi.
Kila kitu kiko wazi, Samia na CCM yake wanainajisi Katiba, wanalinajisi Taifa. Wanaua na kuwapoteza watanzania waziwazi bila hofu yeyote huku Jeshi lililoapa kuwalinda Watanzania na maadui wa ndani na nje likiwepo kimya tu.
Endapo JWTZ wasipochukua hatua sasa, hili linaweza kuwa kosa kubwa zaidi kuwahi kufanywa na Jeshi letu kwenye karne hii ya 21. Na ukweli ni kwamba kosa hili litawaandama milele kwenye historia ya Taifa hili.
Endapo Jeshi letu likiendelea kusema wao masuala ya Uongozi na siasa hayawahusu, hakika nawaambia miaka mitano ijayo CCM wataliingilia nalo litakuwa compromised rasmi na hapo ndipo utakuwa mwisho wa Taifa la Tanzania. Mmeona Watanzania mnaoapa kuwalinda wanavyouwawa. Msiseme hadi waandamane ndo muwasaidie. Fanyeni sasa.
JWTZ, chukueni hii nchi na simamieni upatikanaji wa Katiba Mpya na kuisimika upya mifumo imara ya utawala na kuwajibishana.
Tanzania is bleeding. Take action please. Hili ni ombi rasmi kwenu toka kwetu Watanzania.